Saudia yakosolewa kwa kuzima sauti ya adhana kwa ajili ya hafla za ufuska
Licha ya ukandamizaji wa kimfumo wa utawala wa Saudia dhidi ya wale wanaokosoa mwelekeo wa kisiasa na kijamii wa utawala huo unaolazimishwa kwa watu kwa mabavu, sauti zimeanza kupazwa nchini humo dhidi ya hafla na sherehe za ufuska na ufisadi zinazoandaliwa na kile kinachoitwa Mamlaka Kuu ya Burudani katika Ufalme huo. Makumi ya watu wameonekana…
Marekani yatakiwa ihitimishe uungaji mkono wake kwa utawala wa Saudia
Zaidi ya taasisi 100 za kutetea haki za binadamu zimeitaka Marekani ihitimishe himaya na uungaji mkono wake kwa utawala wa Saudi Arabia ambao umeendelea kufanya mauaji huko nchini Yemen. Asasi na taasisi hizo zimewaandikia barua Wabunge wa Marekani ambao wana jukumu la kutunga sheria na kuwataka waunge mkono muswada wa mamlaka ya kivita unaotaka kusitishwa…
Walio hatarini kunyongwa Saudia kwa sababu za kiitikadi wafikia 59
Vyombo vya mahakama vya Saudi Arabia vimepitisha hukumu ya adhabu ya kifo kwa vijana kadhaa waliowekwa kizuizini ukiwa ni mwendelezo wa utoaji hukumu za kifo kiholela kwa raia wanaoshikiliwa kwa sababu za kiitikadi. Faili la haki za binadamu la Saudi Arabia limetapakaa damu za watu wasio na hatia hususan Waislamu wa madhehebu ya Shia wa nchi hiyo,…
Wimbi jipya la mauaji ya wasomi na wanaharakati laripotiwa Saudia
Wimbi jipya la kunyongwa na kuuliwa wasomi na wanaharakati wa masuala ya kijamii limeripotiwa nchini Saudi Arabia baada ya utawala wa kifalme wa nchi hiyo kumtia nguvuni mwanazuoni wa Kiislamu katika mji mtakatifu wa Madina. Kamata kamata hiyo nchini Saudia inafanyika kwa mujibu wa sheria eti za kukabiliana na ugaidi na sheria nyingine zilizowekwa kwa…
Ripoti kuhusu jinai za kivita za muungano wa Saudia na Imarati nchini Yemen
Kituo cha sheria cha Ain al-Insaniyah (Jicho la Ubinadamu) cha Yemen kimetoa takwimu za kushtua kuhusu maafa ya kibinadamu na kiwango cha uharibifu uliosababishwa na mashambulio ya muungano vamizi wa Saudia na Imarati katika nchi hiyo, takwimu ambazo zinaanika wazi wigo wa jinai za kivita zilizofanywa na muungano huo na waungaji mkono wake wa Magharibi…
Mchambuzi: Wafanyakazi wa Kiafrika wanakandamizwa sana Saudia
Haki za wafanyakazi wahamiaji wa Kiafrika zinapuuzwa kwa kiwango kikubwa Saudia Arabia na utawala huo wa kifalme wenye kiburi. Zaakir Ahmed Mayet alisema hayo katika mahojiano na kituo cha televisheni cha Press TV siku ya Jumapili baada ya kanda za video kufichua mauaji ya wahajiri wa Kiafrika kutoka Ethiopia yanayofanywa na wanajeshi wa utawala wa…
Saudia imeua Wayemen 18,000, kuharibu misikiti 1,679 tokea 2015
Shirika moja la kutetea haki za binadamu limesema watu zaidi ya 18,000 wa Yemen wameuawa tangu kuanza kwa mashambulizi ya muungano vamizi unaoongozwa Saudi Arabia katika nchi hiyo maskini ya Kiarabu mwaka 2015. Kituo cha Humanity Eye Centre for Rights and Development kimesema katika ripoti yake mpya kuwa, idadi jumla ya wahanga imefikia 47,673 katika siku 2,800…
Onyo kali la Yemen kwa muungano wa Saudia kuhusu kuendelea kuporwa nishati ya nchi hiyo
Huku uporaji wa mafuta ya Yemen ukiwa unaendelea, Abdul Aziz bin Habtour, Waziri Mkuu wa Serikali ya Wokovu wa Kitaifa ya Yemen ametahadharisha kuwa, iwapo uporaji huo utaendelea, Wayemen watalazimika kuzilenga meli za mafuta za muungano wa Saudia. Vikosi vya jeshi la Yemen siku ya Jumatatu viliilazimisha meli ya mafuta iliyokuwa inapanga kukaribia bandari ya…