#somalia

Vikosi vya Somalia vyaukomboa mji wa Runirgoud kutoka kwa magaidi wa Al-Shabaab

Vikosi vya Somalia vyaukomboa mji wa Runirgoud kutoka kwa magaidi wa Al-Shabaab

Mashambulizi ya Jeshi la Somalia (SNA) dhidi ya kundi la magaidi wa Al-Shabaab yamepata mafanikio mapya baada ya vikosi vyake kuukomboa mji wa Runirgoud, ngome ya mwisho ya magaidi hao wakufurishaji huko Shabelle ya Kati, takriban kilomita 240 kaskazini mashariki mwa mji mkuu Mogadishu. Kulingana na Jenerali Abdullahi Ali Anod, msemaji wa Wizara ya Ulinzi…

FAO: Watu milioni 1.9 wanakabiliwa na ukosefu wa usalama wa chakula Somalia

FAO: Watu milioni 1.9 wanakabiliwa na ukosefu wa usalama wa chakula Somalia

Shirika la Chakula na Kilimo la Umoja wa Mataifa (FAO) limetangaza kuwa, watu milioni 1.9 nchini Somalia wanakabiliwa na ukosefu wa usalama wa chakula na kwamba, kuna haja ya kupelekewa haraka misaada ya chakula. Taarifa ya FAO imeitaka jamii ya kimataifa kutoa misaada ya haraka kwa ajili ya kuwasaidia wananchi hao ili waweze kukabiliana na…

Magaidi 15 wa Al-Shabaab wauawa katika mji mkuu wa Somalia, Mogadishu

Magaidi 15 wa Al-Shabaab wauawa katika mji mkuu wa Somalia, Mogadishu

Maafisa wa Somalia wametangaza kuuawa kwa magaidi 15 wa Al-Shabaab wameuwa katika mji mkuu wa nchi hiyo Mogadishu. Kwa mujibu wa Shirika la Habari la Mehr, kamanda wa jeshi la Somalia Adwai Youssef amesma vikosi vya usalama vya nchi hiyo vimefanikiwa kuwaua magaidi 14 waliokuwa na silaha katika eneo la Dabq Labi na wakamwangamiza gaidi mwingine katika…

Jeshi la Somalia lakomboa mji wa kimkakati kutoka kwa magaidi wa al Shabaab

Jeshi la Somalia lakomboa mji wa kimkakati kutoka kwa magaidi wa al Shabaab

Rais Hassan Sheikh Mohamud wa Somalia amesema kuwa, jeshi la nchi hiyo limefanikiwa kuukomboa mji wa kimkakati wa Adanyabal katika eneo la Shabelle ya Kati kutoka kwa magaidi wa al Shabaab. Rais Mohamud ametangaza habari hiyo wakati akihutubia umma kupitia televisheni ya taifa na huku akigusia tangazo lake la huko nyuma la kuanza vita vya…

Jeshi la Somalia lachukua udhibiti wa mji wa kimkakati wa El Dhere kutoka Al Shabab

Jeshi la Somalia lachukua udhibiti wa mji wa kimkakati wa El Dhere kutoka Al Shabab

Serikali ya Somalia siku ya Jumamosi ilitangaza kuwa jeshi la nchi hiyo limechukua tena udhibiti wa mji wa kimkakati wa El Dhere kutoka kwa kundi la kigaidi la al-Shabaab. Katika mkutano na waandishi wa habari, Abdirahman Yusuf al-Adala, naibu waziri wa habari, alisema kuwa zaidi ya magaidi 100 wa al-Shabaab, wakiwemo makamanda wao 12, waliuawa…

Vikwazo vilivyowekwa na al-Shabaab vyazidisha maafa ya kibinadamu nchini Somalia

Vikwazo vilivyowekwa na al-Shabaab vyazidisha maafa ya kibinadamu nchini Somalia

Vikwazo vinavyoendelea kuwekwa na magaidi wa kundi la al-Shabaab katika baadhi ya maeneo ya Somalia vinazidisha hali mbaya ya kibinadamu katika nchi hiyo ya Pembe ya Afrika. Bakool kusini magharibi mwa Somalia ni mojawapo ya mikoa iliyoathiriwa zaidi na ukame. Eneo hilo limekuwa chini ya vizuizi vya al-Shabaab kwa zaidi ya muongo mmoja, huku njia…

Magadi 97 wa Al-Shabaab waangamizwa nchini Somalia

Magadi 97 wa Al-Shabaab waangamizwa nchini Somalia

Wizara ya Habari ya Somalia imetangaza mapema leo kuwa kuwa magaidi 97 wa al-Shabaab wameuawa wakati wa operesheni mbili ziilizotekelezwa na jeshi la nchi hiyo na vikosi vya usalama katika mikoa ya Galguduud na Shabelle ya Chini. Kwa mujibu wa shirika rasmi la habari la Somalia (SUNA), Wizara ya Habari imeelzea katika taarifa kwamba magaidi…

Somalia yataka isaidiwe na Jumuiya ya Afrika Mashariki kuimarisha mifumo yake ya mahakama

Somalia yataka isaidiwe na Jumuiya ya Afrika Mashariki kuimarisha mifumo yake ya mahakama

Jaji Mkuu wa Somalia amewasilisha ombi maalumu Kwa Mahakama ya Jumuiya ya Afrika Mashariki kuisaidia Somalia kuimarisha mifumo ya kimahakama ambayo imeathiriwa vibaya na vita hatua itakayoharakisha mchakato unaoendelea wa nchi hiyo wa kujiunga na Jumuiya ya Afrika Mashariki. Yusuph Bashe Mohamed Jaji Mkuu wa Somalia amewasilisha ombi hilo katika Mkutano wa pili wa Majaji…