FARAAN:Majaji watatu wa Mahakama Kuu mnamo siku ya Jumatano tarehe 13 July 2022 walimruhusu aliyekuwa Gavana wa Nairobi, Mike Sonko kuwania wadhifa huo Mombasa, hatua inayotarajiwa kumtia presha mwaniaji wa ODM Abdulswamad Shariff Nassir. Bw. Nassir amekuwa kifua mbele kwenye azma ya kumrithi Gavana Ali Hassan Joho, lakini hatua ya majaji Olga Sewe, Stephen Githinji…
CHAMA cha Wiper kimepata pigo kubwa baada ya Tume ya Uchaguzi (IEBC) kumzima aliyekuwa gavana wa Nairobi, Bw Mike Sonko kuwania kiti hicho katika Kaunti ya Mombasa. Kwenye kikao na wanahabari katika ukumbi wa Bomas of Kenya, Nairobi, Jumamosi, mwenyekiti wa tume hiyo Wafula Chebukati alisema Bw Sonko hajahitimu kuwania kiti chochote cha umma kwa…
ALIYEKUWA Gavana wa Nairobi, Bw Mike Sonko, ameapa kuhudhuria mkutano wa hadhara unaotarajiwa kuongozwa na kinara wa ODM, Bw Raila Odinga, katika uwanja wa Tononoka ulio Mombasa kesho Jumamosi. Iwapo mkutano huo utafanyika ilivyopangwa, itakuwa ni mara ya kwanza Bw Sonko kukutana hadharani na Mbunge wa Mvita, Bw Abdulswamad Nassir, ambao wote ni wagombeaji ugavana…