#sudan

UN: Watu 30,000 wamekimbia ghasia za kikabila nchini Sudan Kusini

UN: Watu 30,000 wamekimbia ghasia za kikabila nchini Sudan Kusini

Uvamizi wa silaha katika eneo la Sudan Kusini lililokumbwa na mapigano ya kikabila umewalazimisha raia wasiopungua 30,000 kukimbia makazi yao. Hayo yamesemwa leo Alkhamisi na shirika la kukabiliana na hali za dharura la Umoja wa Mataifa na kuhimiza kukomeshwa haraka ghasia hizo. Ofisi ya Umoja wa Mataifa ya Kuratibu Masuala ya Kibinadamu (OCHA) imethibitisha habari…

Matukio ya Sudan na onyo la Harakati ya Kiislamu ya nchi hiyo

Matukio ya Sudan na onyo la Harakati ya Kiislamu ya nchi hiyo

Makubaliano ya kusuluhisha mgogoro wa kisiasa wa Sudan yametiwa saini na vyama vya kisiasa vya nchi hiyo katika hali ambayo wengi wana wasiwasi kuhusu mustakabali wa nchi hiyo na uingiliaji wa nchi za kigeni katika mambo ya ndani ya nchi hiyo ya Kiafrika. Kuhusiana na suala hilo, Ali Ahmed Karti, Katibu Mkuu wa Harakati ya…

Abdollahian azihutubu Israel, Magharibi: Iran si Libya au Sudan

Abdollahian azihutubu Israel, Magharibi: Iran si Libya au Sudan

Waziri wa Mambo ya Nje wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amesema maadui wameelekeza mashambulizi yao dhidi ya ardhi na utambulisho wa Iran kwa kuunga mkono harakati za ugaidi ndani ya nchi; lakini njama hizo zimegonga mwamba kutokana na kusimama kidete Wairani. Hossein Amir-Abdollahian alisema hayo jana Alkhamisi katika ujumbe aliotuma kwenye mtandao wa Twitter…

Watu 24 wauawa katika mapigano ya kikabili Darfur Sudan

Watu 24 wauawa katika mapigano ya kikabili Darfur Sudan

Mapigano ya kikabila yaliyozuka katika eneo la Darfur huko Sudan yamesababisha vifo vya karibu watu 24 na kupelekea hali ya dharura kutangazwa eneo hilo. Kiongozi mmoja wa kikabila ameziambia duru za habari kwamba, nyumba zimeteketezwa na mali kuporwa na hali bado inasalia kuwa tete hata baada ya kuwasili kwa maafisa wa usalama wa serikali. Shirika…

Vyama na makundi mbalimbali yatia saini hati maalumu ya kisiasa nchini Sudan

Vyama na makundi mbalimbali yatia saini hati maalumu ya kisiasa nchini Sudan

Vyama na makundi kadhaa ya kisiasa ambayo ni wanachama wa Muungano wa Uhuru na Mabadiliko wa Sudan yametia saini hati maalumu ya kisiasa inayokamilisha katiba mpya ya nchi hiyo Kwa mujibu wa shirika la habari la Tasnim, Chama cha Ummah, Taasisi ya Ittihad, Baraza la Masuala ya Vyama vya Wafanyakazi Sudan, Muungano wa Kidemokrasia wa…

Watu 150 wauawa kwa siku mbili katika mapigano ya kugombea ardhi Sudan

Watu 150 wauawa kwa siku mbili katika mapigano ya kugombea ardhi Sudan

Kwa akali watu 150 wameuawa nchini Sudan katika mapigano ya siku mbili ya kikabila yaliyochochewa na mizozo ya ardhi katika jimbo la kusini mwa nchi hiyo la Blue Nile. Ripoti zinasema kuwa, mapigano katika eneo lenye matatizo la Blue Nile nchini Sudan yalizuka wiki iliyopita baada ya kuripotiwa ugomvi kuhusu ardhi kati ya watu wa…

Mafuriko yaua watu zaidi ya 50 nchini Sudan

Mafuriko yaua watu zaidi ya 50 nchini Sudan

Makumi ya watu wameaga dunia kufuatia mvua kubwa zilizonyesha na kusababisha mafuriko katika maeneo mbalimbali nchini Sudan. Hayo yalisemwa jana Jumamosi na Brigedia Jenerali Abdul-Jalil Abdul-Rahim, Msemaji wa Baraza la Taifa la Ulinzi wa Raia na kuongeza kuwa, mafuriko hayo yaliyosababishwa na mvua kubwa zinazoendelea kunyesha nchini Sudan yamesababisha watu 50 kuaga dunia na makumi ya wengine…

Jeshi la Sudan lashambulia eneo linalozozaniwa katika mpaka na Ethiopia

Jeshi la Sudan lashambulia eneo linalozozaniwa katika mpaka na Ethiopia

Majeshi ya Sudan yalifyatua mizinga mikubwa wakati wa mapigano katika eneo la mashariki linalozozaniwa la al-Fashaqa linalopakana na Ethiopia. Hayo yamedokezwa na afisa wa Ethiopia huku kukiwa na wasiwasi wa kuibuka tena mvutano baina ya nchi hizo mbili kuhusu  mzozo wa muda mrefu katika eneo hilo la mpaka wa pamoja. Jumanne Sudan iliweza kuteka eneo…

  • 1
  • 2