Zaidi ya wasanii 20 hadi sasa yamejiondoa kwenye Tamasha la Sydney 2022 kupinga mchango wa kifedha uliotolewa na ubalozi wa utawala haramu wa Israel nchini Australia kwa moja ya maonyesho ya tamasha hilo. Ususiaji huo wa wasanii umekuja baada ya Israel kuorodheshwa kama “Star Partner” wa tamasha hilo la kila mwaka kwa kutoa dola 20,000…