#syria

Syria yataka mpango wa nyuklia wa Israel uwe chini ya usimamizi wa IAEA

Syria yataka mpango wa nyuklia wa Israel uwe chini ya usimamizi wa IAEA

Mwakilishi wa kudumu wa Syria katika Umoja wa Mataifa amesisitizia ulazima wa vituo vya nyuklia vya utawala haramu wa Kizayuni wa Israel kuwa chini ya ukaguzi na usimamizi wa Wakala wa Kimataifa wa Nishati ya Atomiki IAEA. Bassam al-Sabbagh ameyasema hayo katika hotuba aliyotoa katika mkutano wa kuupitia upya mkataba wa kupiga marufuku uundaji na uenezaji…

Jeshi la Syria latungua makombora ya Israel viungani mwa Damascus

Jeshi la Syria latungua makombora ya Israel viungani mwa Damascus

Kikosi cha Ulinzi wa Anga cha Jeshi la Syria kimetangaza kutungua makombora yaliyokuwa yamevurumishwa na utawala haramu wa Israel nje ya mji mkuu Damascus. Shirika rasmi la habari la Syria, SANA limetangaza kuwa, mizinga ya ulinzi wa anga ya Syria alfajiri ya leo Ijumaa imetungua akthari ya makombora hayo ya Israel viungani mwa Damascus. Jeshi katili…

Russia: Mashambulio ya anga ya Israel dhidi ya Syria hayakubaliki hata kidogo

Russia: Mashambulio ya anga ya Israel dhidi ya Syria hayakubaliki hata kidogo

Wizara ya Mambo ya Nje ya Russia imelaani vikali shambulio la anga lililofanywa hivi karibuni na utawala haramu wa Kizayuni wa Israel dhidi ya Syria. Siku ya Jumamosi, ndege za kivita za utawala wa Kizayuni wa Israel zilishambulia kitongoji cha Hamidiyah kusini mwa mkoa wa Tartus. Raia wawili walijeruhiwa katika shambulio hilo. Katika taarifa, wizara…

Nchi za Kiarabu zafanya juu chini Syria inarejeshewa uwanachama wake Arab League

Nchi za Kiarabu zafanya juu chini Syria inarejeshewa uwanachama wake Arab League

Naibu Katibu Mkuu wa Jumuiya ya Nchi za Kiarabu, Arab League amesema nchi kadhaa wanachama wa jumuiya hiyo zinafanya juhudi kuhakikisha Syria inarejeshewa uwanachama wake. Mnamo mwaka 2011 na kwa mashinikizo ya Muungano wa Falme za Kiarabu (UAE) na Saudi Arabia kufuatia kuanza kwa mgogoro nchini Syria, Arab League ilichukua hatua ya kusimamisha uwanachama wa…

Hisia za Marekani kwa ziara ya Rais Bashar al-Assad ya Imarati

Hisia za Marekani kwa ziara ya Rais Bashar al-Assad ya Imarati

Msemaji wa Wizara ya Mambo ya Nje ya Marekani alieleza maoni yake kuhusu ziara ya rais wa Syria katika Umoja wa Falme za Kiarabu. Kulingana na Huduma ya Kimataifa ya Shirika la Habari la Fars, msemaji wa Wizara ya Mambo ya Nje ya Marekani katika mahojiano na Al Jazeera alijibu ziara ya Bashar al-Assad ya…

Russia imefichua kuwa Marekani inawasafirisha magaidi wa ISIS au Daesh kutoka Syria na kuwaingiza Ukraine

Russia imefichua kuwa Marekani inawasafirisha magaidi wa ISIS au Daesh kutoka Syria na kuwaingiza Ukraine

Idara ya Usalama wa Nje ya Nchi ya Russia- SVR RF- imesema kuwa, Marekani inatuma magaidi Ukraine kutoka Syria. Taarifa ya SVR-RF imesema magaidi hao wa ISIS wamekuwa wakipata mafunzo maalumu katika kituo kimoja cha kijeshi kilicho Syria kinyume cha sheria na baada ya kupata mafunzo wanaepelekwa Ukraine. Taarifa hiyo imesema: “Mwishoni mwa mwaka 2021,…

Ulinzi wa anga wa Damascus wakabiliana na utawala wa Kizayuni

Ulinzi wa anga wa Damascus wakabiliana na utawala wa Kizayuni

Shirika la habari la SANA limeripoti kuwa mifumo ya ulinzi wa anga ya jeshi la Syria katika viunga vya Damascus imeanzishwa ili kukabiliana na mashambulizi ya utawala wa Kizayuni. Vyombo vya habari vya ndani viliripoti Alhamisi asubuhi kwamba mlipuko ulisikika katika mji mkuu wa Syria, Damascus.Wakati huo huo baadhi ya duru zimeripoti kuwa, utawala wa…

Syria yapinga Hatua ya Israel ya kuwafukuza Wapalestina Sheikh Jarrah

Syria yapinga Hatua ya Israel ya kuwafukuza Wapalestina Sheikh Jarrah

Wizara ya Mashauri ya Kigeni ya Syria imetoa wito wa kukomeshwa hatua za utawala wa Kizayuni wa Israel za kuharibu nyumba za Wapalestina na kuwafukuza katika ardhi na makazi yao wakieleza kwamba hatua hiyo ni uhalifu wa kivita. Taarifa hiyo ya Wizara ya Mashauri ya Kigeni ya Syria imetolewa baada ya walowezi wa Kizayuni kuendeleza…