#syria

Syria yatungua makombora ya Israel yaliyokuwa yanalenga Damascus

Syria yatungua makombora ya Israel yaliyokuwa yanalenga Damascus

Mfumo wa ngao ya makombora wa Syria umefanikiwa kutungua makombora kadhaa ya utawala haramu wa Israeli yaliyokuwa yamevurumishwa kuelekea kwenye mji mkuu wa nchi hiyo, Damascus. Shirika rasmi la habari la Syria, SANA, limeropoti kuwa mapema Jumatatu Alfajiri, makombora ya Israel yakipitia mashariki mwa mji wa Lebanon wa Rayaq, yalikuwa yanaelekea Damascus kabla ya kutunguliwa….

Iran: Mgogoro wa Syria hauwezi kutatuliwa kukiwa na wavamizi wa kigeni

Iran: Mgogoro wa Syria hauwezi kutatuliwa kukiwa na wavamizi wa kigeni

Jamhuri ya Kiislamu ya Iran imelaani ukiukaji wa mamlaka ya kitaifa ya kijitawala Syria ambao unatekelezwa na askari vamizi wa kigeni na magaidi na kusema, mgogoro wa muda mrefu wa nchi hiyo hauwezi kutatuliwa iwapo kutaendelea kuwepo nchini humo wavamizi wa kigeni. Balozi wa Iran katika Umoja wa Mataifa Majid Takht-Ravanchi aliyasema hayo Jumatano katika…

Iran Yalaani Mashambulizi ya Israel dhidi ya Latakia ya Syria

Iran Yalaani Mashambulizi ya Israel dhidi ya Latakia ya Syria

TEHRAN (FNA)- Wizara ya Mambo ya Nje ya Iran imesikitishwa na mashambulizi ya hivi karibuni ya Israel dhidi ya maghala ya chakula na dawa huko Latakia ya Syria, na kuutaja utawala wa Kizayuni kuwa chanzo cha ukosefu wa utulivu katika eneo hilo. Msemaji wa Wizara ya Mambo ya Nje ya Iran Saeed Khatibzadeh mnamo Jumatano…