Mbeya. Watu watano wamefariki dunia na wengine kadhaa wamejeruhiwa baada ya lori la mizigo lililobeba shehena ya mahindi kufeli breki na kugonga badi dogo la abiria aina ya Coaster liliyokuwa likitoka Mbeya mjini kwenda Wilaya ya Mbarali. Kamanda wa Polisi Mkoa wa Mbeya, Urlich Matei amesema kuwa ajali hiyo imetokea leo Jumanne Julai 5, 2022 kwenye…