Tanzania yatakiwa kuheshimu haki za binadamu kuelekea uchaguzi serikali za mitaa
Shirika la kimatatifa la kutetea haki za binadamu la Human Rights Watch limeitaka serikali ya Tanzania kulinda haki za binadamu kuelekea uchaguzi wa serikali za mitaa. Tanzania inatarajiwa kufanya uchaguzi wa serikali za mtaa tarehe 27 Novemba mwaka huu huku wapiga kura wakitarajiwa kuchagua Mwenyekiti wa kijiji, wajumbe wa Halmashauri ya Kijiji (kundi mchanganyiko la…
Msimamo wa Tanzania kuhusu Uraia wa Nchi Mbili Unaumiza Maslahi Yake Kama Taifa Lenye Maono. Labda Ni Wakati Mwafaka wa Kubadilisha Gia?
Uraia pacha unaweza kuchochea ongezeko la uwekezaji na kuharakisha maendeleo ya uchumi unaotegemea maarifa nchini Tanzania. Tanzania ndio taifa pekee la Jumuiya ya Afrika Mashariki ambalo haliruhusu uraia pacha katika utu uzima. Serikali ya Tanzania imekanusha mara kwa mara dhana ya uraia wa nchi mbili, ikisisitiza kwamba utaratibu huo utaleta ukosefu wa usawa na mkanganyiko…
Kongamano la Idhaa za Kiswahili Duniani lafanyika visiwani Zanzibar, Tanzania
Kongamano la siku mbili la Idhaa za Kiswahili Duniani limeendelea leo visiwani Zanzibar nchini Tanzania kwa mada mbalimbali zilizowasilishwa na wataalamu wa lugha hiyo kutoka pembe tofauti za dunia. Kongamano hilo lililoandaliwa na Baraza la Kiswahili la Zanzibar (BAKIZA) kwa kushirikiana na wadau wengine, limewaleta pamoja waandishi wa habari kutoka vyombo mbalimbali vya habari vya kimataifa…
Iran na Tanzania zahimiza ushirikiano zaidi baina yao hasa katika uwekezaji viwandani
Waziri wa Mambo ya Nje wa Iran amesema: Tuko tayari kutoa ujuzi na uzoefu wetu, hasa katika nyanja za elimu, kilimo, uvuvi, ujenzi wa mabwawa, usimamizi wa vyanzo vya maji na kilimo umwagiliaji, ili kuisaidia Tanzania katika juhudi zake za mapinduzi ya viwanda. Kwa mujibu wa shirika la habari la Fars, Hossein Amir-Abdollahian na “Stergomena Lawrence…
Lissu arejea nyumbani kwa kishindo; ujio wake utahuisha upinzani Tanzania?
Kiongozi wa upinzani nchini Tanzania Tundu Lissu amerejea nyumbani kutoka uhamishoni baada ya Rais Samia Suluhu Hassan kuondoa marufuku ya mikutano ya kisiasa ya hadhara. Lissu amewasili leo Jumatano katika Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Julius Nyerere akitokea Ubelgiji, na kupokea viongozi, wanachama na mamia ya wafuasi wa Chama cha upinzani cha Chadema. Jeshi la polisi…
Kiongozi wa upinzani nchini Tanzania Tundu Lissu kurejea kutoka uhamishoni
Kiongozi wa upinzani nchini Tanzania Tundu Lissu amesema kwamba atarejea nyumbani hivi karibuni kutoka uhamishoni baada ya rais kuondoa marufuku ya mikutano ya kisiasa. Lissu, ambaye alipigwa risasi 16 katika jaribio la kutaka kumuua mwaka 2017 na amekuwa akiishi uhamishano nchini Ubelgiji, alihutubu kwa njia ya intaneti Ijumaa na kutangaza kuwa atarejea Tanzania Januari 25….
Kongamano la Kimataifa la Umoja wa Kiislamu lafanyika Tanzania
Kongamano la siku moja limefanyika nchini Tanzania, likilenga kuimarisha na kukuza umoja katika Umma wa Kiislamu. Hafla hiyo iliyoandaliwa na tawi la Tanzania la Chuo Kikuu cha Kimataifa cha Al-Mustafa (SAW) na kituo cha kitamaduni cha Iran nchini Tanzania mnamo Januari 6, 2023, ilishirikisha wasomi wa madehehbu za Shia na Sunni kutoka Iran na Tanzania….
Vigogo wa upinzani kurejea Tanzania kufuatia tangazo la Rais Samia
Huku Chama cha Demokrasia ya Maendeleo ‘Chadema’ kikitarajia kuzindua mikutano ya hadhara Januari 21 mwaka huu nchini Tanzania, viongozi wa chama hicho kikuu cha upizani walioko nje ya nchi, Tundu Lissu, Godbless Lema na Ezekia Wenje wanatazamiwa kuwa miongoni mwa washiriki katika mikutano hiyo. Mikutano ya hadhara ya chama hicho inatarajiwa kuanza baada ya Rais…