#tanzania

Iran yaipa mkono wa pole Tanzania kwa vifo vya watu waliofariki katika ajali ya ndege

Iran yaipa mkono wa pole Tanzania kwa vifo vya watu waliofariki katika ajali ya ndege

Msemaji wa Wizara ya Mambo ya Nje ya Jamhuri ya Kiislamu ametuma salamu za rambirambi kwa serikali na wananchi wa Tanzania kufuatia ajali ya ndege iliyosababisha vifo vya raia kadhaa wa nchi hiyo. Kwa mujibu wa shirika la habari la IRNA, Nasser Kan’ani amesema Jamhuri ya Kiislamu ya Iran imesikitishwa na kuhuzunishwa na vifo vya…

Ndege ya abiria yaanguka Tanzania; watu 19 wathibitishwa kuaga dunia

Ndege ya abiria yaanguka Tanzania; watu 19 wathibitishwa kuaga dunia

Kwa akali watu 19 wameaga dunia nchini Tanzania, baada ya ndege ya Shirika la Ndege la Precision Air kuanguka katika Ziwa Victoria jiirani kabisa na uwanja wa ndege wa Bukoba. Kwa mujibu wa mkuu wa mkoa wa Kagera Albert Chalamila idadi ya waliofariki imefikia 19, majeruhi 26. Ndege ya Shirika la Ndege ya Precision Air…

Matokeo ya Sensa: Idadi ya watu Tanzania yafikia milioni 61.74

Matokeo ya Sensa: Idadi ya watu Tanzania yafikia milioni 61.74

Rais Samia Suluhu Hassan wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania ametangaza matokeo ya Sensa ya Watu na Makazi iliyofanyika Agosti mwaka huu akisema kuwa idadi ya Watanzania ni milioni 61,741,120. Akitangaza matokeo hayo, Rais Samia amesema, kati yao wanawake ni milioni 31.6 sawa na asilimia 51 na wanaume milioni 30.53 sawa na asilimia 49 ya…

Wachambuzi wa mambo Tanzania wapokea kwa hisia mseto makabidhiano ya ripoti ya kikosi kazi

Wachambuzi wa mambo Tanzania wapokea kwa hisia mseto makabidhiano ya ripoti ya kikosi kazi

Wachambuzi wa mambo nchini Tanzania wamepokea kwa hisia mseto mapendekezo ya ripoti ya kikosi kazi kuhusiana na suala zima la demokrasia katika nchi hiyo. Maoni hayo yametolea baada ya Rais Samia Suluhu Hassan wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kupokea majuzi ripoti ya mapendekezo ya kikosi kazi kuhusu uratibu wa maoni ya wadau wa Demokrasia…

Maadhimisho ya Arubaini ya Imam Hussein yafanyika Tanzania, Nigeria, Niger

Maadhimisho ya Arubaini ya Imam Hussein yafanyika Tanzania, Nigeria, Niger

Waislamu ya madhehebu ya Shia Tanzania, visiwani Zanzibar, Nigeria na Niger wamefanya marasimu, matembezi na vikao vya kuadhimisha Arubaini ya Imam Hussein (AS). Huko nchini Nigeria, mamia ya watu walishiriki katika matembezi hayo ya Arubaini ya Imam Hussein (AS) jana Jumamosi katika maeneo mbalimbali ya nchi hiyo ya Afrika Magharibi. Baadaye walikusanyika katika Husseiniya ya…

Rais wa Tanzania atoa wito wa upanuzi wa uhusiano wa kiuchumi na Iran

Rais wa Tanzania atoa wito wa upanuzi wa uhusiano wa kiuchumi na Iran

Rais wa Tanzania katika kikao na Waziri wa Mashauri ya Kigeni wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran ametoa wito wa kuongezwa maingiliano ya kiuchumi na kibiashara kati ya nchi hizo mbili. Hossein Amirabdollahian, Waziri wa Mashauri ya Kigeni wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran aliyewasili katika mji mkuu wa nchi hiyo wa Dodoma jana Ijumaa…

Amir-Abdollahian: Afrika ni moja ya vipaumbele vikuu vya diplomasia ya kiuchumi ya Iran

Amir-Abdollahian: Afrika ni moja ya vipaumbele vikuu vya diplomasia ya kiuchumi ya Iran

Waziri wa Mashauri ya Kigeni wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran aliyeko ziarani nchini Tanzania amesema kuwa, bara la Afrika ni moja ya vipaumbele vikuu vya diplomasia ya kiuchumi ya Iran. Hussein Amir-Abdollahian amesema hayo leo jijini Dar es Salaam katika kikao cha wanaharakati wa masuala ya kiuchumi na biashara wa Iran na Tanzania ambapo…

Waziri wa Mambo ya Nje wa Iran aelekea Tanzania akitokea nchini Mali

Waziri wa Mambo ya Nje wa Iran aelekea Tanzania akitokea nchini Mali

Waziri wa Mambo ya Nje wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran leo Jumatano ameelekea nchini Tanzania baada ya kumaliza ziara yake ya kikazi katika nchi ya Mali ya Magharibi mwa Afrika. Hiyo ni ziara rasmi ya kwanza ya Hossein Amir-Abdollahian barani Afrika tangu ateuliwe kuwa Waziri wa Mambo ya Nje wa Iran. Aliwasili nchini Mali…