#tanzania

Zanzibar yakabidhiwa takwimu za uchimbaji mafuta, gesi

Zanzibar yakabidhiwa takwimu za uchimbaji mafuta, gesi

Unguja. Serikali ya Zanzibar, imekabidhiwa rasmi takwimu (data) za utafutaji wa mafuta na gesi kutoka Serikali ya Tanzania. Hafla ya makabidhiano hayo imefanyika leo Jumatano Agosti 10, 2022 Ikulu ya Zanzibar kwa kutiliana saini kati ya Waziri wa Nishati wa Tanzania, January Makamba na Waziri wa uchumi wa Buluu na Uvuvi wa Zanzibar, Suleiman Masoud…

Samia aweka msimamo uanzishwaji wilaya mpya

Samia aweka msimamo uanzishwaji wilaya mpya

Dar/Mbeya. Rais Samia Suluhu Hassan amesema Serikali haina mpango wa kukata maeneo kwa kuyapandisha hadhi, badala yake wanajielekeza kwenye utatuzi wa kero za wananchi. Rais Samia alitoa kauli hiyo jana mkoani Mbeya, wakati akizindua mradi wa maji wa Shongo – Mbalizi baada ya kupokea ombi kutoka kwa mbunge wa Mbeya Vijijini, Oran Njeza la kutaka Mbalizi…

Tanzania, Zambia zakubaliana kurejesha uhusiano

Tanzania, Zambia zakubaliana kurejesha uhusiano

Dar es Salaam. Tanzania na Zambia zimekubaliana kurejesha uhusiano wao ambao miaka ya karibuni ulilegalega, huku viongozi wa mataifa hayo wakikubaliana kuimarisha uhusiano wa kisiasa na kuwaunganisha watu. Rais wa Zambia Haikendi Hichilema amefanya ziara nchini ikiwa ni mara yake ya kwanza tangu kuingia madarakani ambapo alifanya mazungumzo na mwenyeji wake Rais Samia Suluhu Hassan….

Rais Samia ateua wakuu wa mikoa wapya, tisa watemwa

Rais Samia ateua wakuu wa mikoa wapya, tisa watemwa

Dar es Salaam. Rais wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan amefanya uteuzi wa wakuu wa mikoa wapya, kuwahamisha vituo vya kazi waliokuwepo, huku akiwatema tisa akiwemo aliyekuwa Mkuu wa Mkoa wa Mara, Ally Hapi. Uteuzi huo umetangaza leo Alhamisi Julai 28, 2022 na Mkurugenzi wa Mawasiliano ya Rais, Ikulu, Zuhura Yunus Taarifa hiyo imewataja wakuu wa mikoa…

MwananchiMaoni Na Uchambuzi Tanzania katikati ya mgogoro wa Mashariki ya Kati

MwananchiMaoni Na Uchambuzi Tanzania katikati ya mgogoro wa Mashariki ya Kati

Palestina ni Taifa ambalo limekuwepo kwa muda mrefu lakini haitambuliki kama nchi popote duniani. Jumuiya za kimataifa hazilitambui Taifa hilo ambalo limemezwa na nchi ya Israel na halipo kabisa katika ramani ya uso wa dunia. Ni Taifa ambalo halina serikali yake. Sehemu kubwa ya ardhi yake imetwaliwa na Waisraeli. Umoja wa Mataifa (UN) haulitambui Taifa…

Waislamu wa Tanzania waadhimisha Siku ya Kimataifa ya Quds na kulaani jina za Israel

Waislamu wa Tanzania waadhimisha Siku ya Kimataifa ya Quds na kulaani jina za Israel

Upendo na  na hisia ya Waislamu wa Tanzania kwa Palestina huonekana katika mambo kadhaa moja wapo ni hili hapa. Waislamu nchini Tanzania na wapenda amani katika nchi hiyo ya Afrika Mashariki leo wameungana na wapigania haki duniani kuadhimisha Siku ya Kimataifa ya Quds ambayo ni Ijumaa ya mwisho ya mwezi Mtukufu wa Ramadhani ikiwa ni…

Kinana afichua siri CCM kuendelea kubaki madarakani

Kinana afichua siri CCM kuendelea kubaki madarakani

Katavi. Makamu Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi (CCM)-Bara, Abdulrahman Kinana amesema siri ya chama hicho kuendelea kubaki madarakani kunatokana na aina ya demokrasia yake, uhuru, uwazi na utoaji maoni. Akizungumza na wakazi wa Mkoa wa Katavi, leo Jumatatu Julai 25, 2022, amesema ustawi huo unasababisha demokrasia ndani ya chama hicho kutoa fursa sawa kwa kila mwanachama kuwa huru kuchagua…

Joseph Mbilinyi (Sugu): Kuna maana gani Tanzania kufungua ubalozi wake Israel na kuwaacha Wapalestina

Joseph Mbilinyi (Sugu): Kuna maana gani Tanzania kufungua ubalozi wake Israel na kuwaacha Wapalestina

Mbunge wa Mbeya mjini wa chama cha upinzani nchini Tanzania (CHADEMA) Joseph Osmund Mbilinyi maarifa kwa jina la Sugu amesema kuwa, inashangaza kuona hii leo serikali ya Rais John Magufuli inakwenda kinyume na misingi iliyojengwa na Tanzania katika kuwatetea watu wanaokandamizwa duniani, hususan Palestina. Akitoa mfano wa suala hilo mheshimiwa Mbilinyi ameelezea namna ambavyo Tanzania…