
Suluhu Azindua Filamu Amerika ili Kuimarisha Utalii Nchini Tanzania
RAIS Samia Suluhu Hassan anatarajiwa kuzindua filamu yake inayolenga kuvutia watalii nchini Tanzania. Filamu hiyo inayojulikana kama Royal Tour, itazinduliwa Jumatatu, Aprili 18 jijini New York. Rais Suluhu aliondoka Tanzania Alhamisi jioni kuelekea Amerika kwa ajili ya uzinduzi huo. Filamu hiyo pia itazinduliwa jimboni Los Angeles, Amerika Aprili 21 na jijini Dar es Salaam nchini…