#TPDC

Gesi inavyobana matumizi na kufungua fursa

Gesi inavyobana matumizi na kufungua fursa

Mtwara. Matumizi ya gesi asilia kwenye malori 256 ya kiwanda cha saruji cha Dangote yamesaidia kuokoa takriban Sh5 bilioni iwapo magari hayo yangetumia mafuta kati ya Machi 2021 hadi Juni. Uchambuzi uliozingatia mwenendo wa bei za mafuta katika siku za hivi karibuni, kiwanda hicho kingetumia zaidi ya Sh11 bilioni lakini gesi imeokoa asilimia 45 ya kiasi…