#Tunduru

Mtatiro aagiza mwalimu aliyezaa pacha wanne kuhamishiwa mjini

Mtatiro aagiza mwalimu aliyezaa pacha wanne kuhamishiwa mjini

Tunduru. Mkuu wa Wilaya ya Tunduru, Julius Mtatiro amemwagiza Mkurugenzi Mtendaji wa Halmashauri ya wilaya hiyo kuanza mchakato wa kumhamishia kwenye shule iliyoko mjini humo Mwalimu Judith Sichalwe mwenye miaka 29 ambaye amejifungua watoto wanne bila upasuaji katika hospitali ya Wamisionari ya Mbesa. DC Mtatiro ametoa maelekezo hayo jana Juni 26 alipomtembelea Mwalimu huyo katika kijiji…