#Turkmenistan

Marais wa Iran na Russia wanakutana leo Ashgabat

Marais wa Iran na Russia wanakutana leo Ashgabat

Rais Ebrahim Raisi wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran leo anakutana na mwenzake wa Russia Vladimir Putin katika kikao kitakachofanyika katika mji mkuu wa Turkmenistan, Ashgabat. Kwa mujibu wa taarifa mshauri wa rais wa Russia katika sera za kigeni Yuri Viktorovich Ushakov amesema Rais Putin leo atashiriki katika kikao cha viongozi wa Nchi za Pwani ya…