#twitter

Umoja wa Mataifa waionya Twitter kuhusu matamshi ya kueneza chuki, ubaguzi

Umoja wa Mataifa waionya Twitter kuhusu matamshi ya kueneza chuki, ubaguzi

Rekodi mbaya ya mmiliki mpya wa Twitter, Elon Musk ya kuchukua misimamo isiyo ya kawaida na kuibua masuala yenye utata imeufanya Umoja wa Mataifa kumuonya dhidi ya kuchapisha maudhui yoyote ya chuki katika mtandao wa kijamii wa Twitter. Ripoti ya shirika la habari la Sputnik imemnukuu msemaji wa Umoja wa Mataifa, Stephane Dujarric akisema: “Tumetangaza…