#uae

Jeshi la Yemen lafanya mashambulizi ya kombora kwenye chumba cha operesheni cha UAE

Jeshi la Yemen lafanya mashambulizi ya kombora kwenye chumba cha operesheni cha UAE

Jeshi la Yemen limesema kuwa limerusha kombora katika chumba cha operesheni cha UAE katika mkoa wa Shabwa (kusini mwa Yemen). Asubuhi ya leo (Jumanne) Msemaji wa Jeshi la Yemen, Brigedia Jenerali Yahya Sari, ametangaza kwamba kombora limerushwa kwenye Jumba la Operesheni la UAE na mamluki wake lililopo katika maene ya kusini mwa Yemen. Msemaji huyo…

Yemeni kushambulia maeneo ya kistratejia ya Saudi Arabia na Imarati

Yemeni kushambulia maeneo ya kistratejia ya Saudi Arabia na Imarati

Faraan: Vikosi vya makombora na ndege zisizo na rubani za Yemen asubuhi ya leo (Jumatatu) vimefanya mashambulizi makubwa ndani ya ardhi ya Saudi Arabia na Imarati, yakilenga vituo vya kistratejia na vya kijeshi vya nchi hizo mbili. Ukweli wa kukanusha Saudi Arabia na Imarati kuhusiana na kiasi cha uharibifu na wingi wa mashambulizi umefichuliwa leo…

Tel Aviv inahofia jeshi la Yemen huenda likavamia maeneo yanayomilikiwa kimabavu

Tel Aviv inahofia jeshi la Yemen huenda likavamia maeneo yanayomilikiwa kimabavu

Vyanzo vya Habari kwa lugha ya Kiebrania viliripoti kuwa Tel Aviv inachunguza shambulio la jeshi la Yemen dhidi ya Abu Dhabi kwa kuhofia mashambulizi kama hayo katika maeneo yaliyokaliwa na kumilikiwa kimabavu. Jana (Jumanne) Idhaa ya Kiebrania ya Kan iliripoti kwamba Tel Aviv ilikuwa ikichunguza ripoti za shambulio la ndege isiyo na rubani ya Sanaa…

Yemen yakasirika baada ya UAE kuwaingiza ‘watalii’ wa Israel kisiwani Socotra

Yemen yakasirika baada ya UAE kuwaingiza ‘watalii’ wa Israel kisiwani Socotra

Hasira zimeenea miongoni mwa watu wa Yemen baada ya kuenea picha zinazowaonyesha “watalii” kutoka utawala haramu wa Israeli wakitembelea kisiwa cha kistratijia cha Yemen cha Socotra ambacho kinakaliwa kwa mabavu na Umoja wa Falme za Kiarabu (UAE). aarifa zinasema UAE ndiyo iliyowaingiza ‘watalii’ hao Waisraeli katika kisiwa hicho cha Yemen. Picha zimesambazwa zikiwaonyesha Waisraeli hao…