FARAAN: NAIBU Rais Willam Ruto Jumamosi ameidhinishwa kuwania urais katika uchaguzi mkuu wa Agosti 9, 2022. Hii ni mara ya kwanza kwa mwanasiasa huyo ambaye alichaguliwa kwa mara ya kwanza kuwa Mbunge wa Eldoret Kaskazini mnamo 1997, kujitosa rasmi katika kinyang’anyiro cha urais nchini. Mwenyekiti wa Tume Huru ya Uchaguzi na Mipaka (IEBC) Wafula Chebukati…
NAIBU RAIS William Ruto jana alitia saini mkataba wa ushirikiano na vyama 12 chini ya Muungano wa Kenya Kwanza huku viongozi wa muungano huo ukiendeshwa na midume tupu. Vyama vyote vinavyounga azima yake vinasimamiwa na wanaume ishara kwamba, maamuzi yote ya muungano wa Kenya Kwanza huenda yatakuwa yakifanywa na jinsia moja.Japo alisifu washirika wake akisema…