#ufaransa

Mmiliki wa mgahawa Ufaransa atozwa faini kwa wuwabagua Waislamu

Mmiliki wa mgahawa Ufaransa atozwa faini kwa wuwabagua Waislamu

Mahakama moja ya Ufaransa imemtoza faini mmiliki wa mgahawa kusini-magharibi mwa nchi hiyo ya Ulaya kwa kumkataza mwanamke Mwislamu kuingia akiwa amevaa mtandio wa Kiislamu, unajulikana pia kama Hijabu. Mahakama katika mji wa Bayonne katika eneo la Basque iliamua kwamba mmiliki wa mgahawa wa kike mwenye umri wa miaka 64 alikuwa na hatia ya ubaguzi…

Waziri Mkuu wa Italia akosoa sera za ukoloni na unafiki wa Ufaransa kuhusu wahamiaji

Waziri Mkuu wa Italia akosoa sera za ukoloni na unafiki wa Ufaransa kuhusu wahamiaji

Waziri Mkuu wa Italia ameikosoa hadharani Ufaransa kwa mtazamo wake wa kinafiki kuhusu suala la wahamiaji wanaotoka Afrika, ambalo limekuwa mzozo kati ya nchi hizo mbili katika wiki za karibuni huku akifichua sera ya ukoloni ya Paris huko Burkina Faso. Giorgia Meloni, ambaye alikuwa akizungumza katika mahojiano ya televisheni, ameyasema hayo huku akionyesha picha ya…

Mgogoro wa mafuta Ulaya, wananchi washambulia vituo vya mafuta Ufaransa

Mgogoro wa mafuta Ulaya, wananchi washambulia vituo vya mafuta Ufaransa

Madereva wa vyombo vya usafiri nchini Ufaransa wameshambulia vituo vya mafuta na kusababisha foleni kubwa baada ya bei ya bidhaa hiyo muhimu kupaa vibaya wakati huu wa mgogoro mkubwa wa nishati barani Ulaya. Televisheni ya Ruptly imeripoti habari hiyo leo na kuongeza kuwa, makumi ya madereva wa magari ya usafiri mjini Paris wamevamia vituo vya mafuta…

Mkutano wa Rais wa Ufaransa na wanaoipinga Iran ni hatua ya kuchochea machafuko

Mkutano wa Rais wa Ufaransa na wanaoipinga Iran ni hatua ya kuchochea machafuko

Msemaji wa Wizara ya Mashauri ya Kigeni ya Iran amelaani kikao cha Rais wa Ufaransa na wapinzani wa Iran na kukitaja kitendo hicho kuwa ni ukiukaji mkubwa wa majukumu ya kimataifa ya Ufaransa katika kupambana na ugaidi na ukatili. Katika wiki za hivi karibuni, maafisa wa utawala wa Ufaransa wameingilia wazi wazi masuala ya ndani ya…

Vijana wa Ufaransa wapinga marufuku ya hijabu katika maeneo ya umma

Vijana wa Ufaransa wapinga marufuku ya hijabu katika maeneo ya umma

Matokeo ya uchunguzi uliofanywa nchini Ufaransa yanaonyesha kuwa zaidi ya nusu ya vijana wa nchi hiyo wanapinga marufuku vazi la hijabu la Kiislamu katika maeneo ya umma. Waislamu walio wachache nchini Ufaransa daima wamekuwa wakikabiliana na suala la hijabu na masharti magumu kwa wanawake wenye vazi la hilo la staha kutokana na sheria za kilaiki…

Rais wa Ufaransa: Inapasa tubadilishe mbinu ya kukabiliana na Iran

Rais wa Ufaransa: Inapasa tubadilishe mbinu ya kukabiliana na Iran

Rais Emmanuel Macron wa Ufaransa amedai kuwa vitisho vya Iran vimevuka mipaka ya Asia Magharibi, na kueleza kwamba mbinu za kukabiliana na vitisho vya Tehran duniani inapasa zibadilishwe. Macron, ambaye nchi yake ilichukua nafasi ya polisi mbaya katika mazungumzo ya awali ya kufikia makubaliano ya nyuklia na ya karibuni ya Vienna ya uondoaji vikwazo dhidi ya Iran,…

Erdogan: Kampuni ya Ufaransa ya Lafarge inaunga mkono ugaidi

Erdogan: Kampuni ya Ufaransa ya Lafarge inaunga mkono ugaidi

Rais wa Uturuki Recep Tayyip Erdogan amesema kampuni kubwa ya saruji ya Ufaransa ya Lafarge sasa imefichuliwa kuwa moja ya taasisi muhimu zinazounga mkono ugaidi. Akizungumza katika  Mkutano wa 12 wa Mawaziri wa Habari wa Jumuiya ya Ushirikiano wa Kiislamu ulioanza Ijumaa na kumalizika jana mjini Istanbul, Erdogan ameongeza kuwa, “Niliposema jinsi kampuni kubwa ya…

Mkusanyiko wa kulalamikia kufukuzwa nchini Ufaransa Imam wa Swala ya Jamaa

Mkusanyiko wa kulalamikia kufukuzwa nchini Ufaransa Imam wa Swala ya Jamaa

Mwenendo wa chuki dhidi ya Uislamu na vitendo vya utumiaji mabavu dhidi ya Waislamu katika mataifa ya Ulaya hususan Ufaransa ungali unaendelea. Katika fremu hiyo, Baraza la Utawala la Ufaransa, limeidhinisha hukumu ya kufukuzwa nchini humo Hassan Iquioussen Imam wa Swala ya Jamaa mwenye asili ya Morocco kwa tuhuma za kueneza chuki dhidi ya Mayahudi. Pamoja na…