Rais wa Somalia Hassan Sheikh Mohamud ametangaza vita dhidi ya kundi la kigaidi la wanamgambo wa al-Shabab ambalpo limekuwa likifanya mashambulio na mauaji mara kwa mara katika nchi hiyo ya Pembe ya Afrika. Rais huyo mpya wa Somalia ameahidi vita vikali vya kutokomeza kundi la al-Shabab katika taarifa yake ya kwanza kwa taifa tangu wanamgambo…