#uganda

Jeshi la Uganda limetishia kumfukuza balozi wa Marekani nchini humo

Jeshi la Uganda limetishia kumfukuza balozi wa Marekani nchini humo

Kufuatia vikwazo vya hivi karibuni vya Washington dhidi ya maafisa wanne wa polisi wa nchi hiyo, kamanda wa jeshi la Uganda alimuonya balozi wa Marekani kwamba anapaswa kuondoka katika nchi hio ya Afrika Mashariki ikiwa hatamuomba radhi rais wa Uganda. Muhozi Kainerugaba, Mkuu wa Majeshi ya Uganda, alimuonya Balozi wa Marekani nchini kwamba ikiwa hatamuomba…

Uganda yatangaza kumalizika kwa mlipuko wa Ebola ulioua makumi

Uganda yatangaza kumalizika kwa mlipuko wa Ebola ulioua makumi

Uganda imetangaza habari ya kudhibitiwa na kutokomezwa mlipuko wa Ebola ambao umeua makumi ya watu nchini humo tangu Septemba mwaka uliomalizika 2022. Tangazo hilo limetolewa leo Jumatano na Jane Ruth Aceng, Waziri wa Afya wa Uganda katika hafla ya kuadhimisha mwisho wa mlipuko wa maradh hayo hatarishi. Dakta Aceng amebainisha kuwa, ‘Tumefanikiwa kudhibiti msambao wa Ebola…

Uganda yapeleka wanajeshi katika mpaka na DRC kuzuia waasi wa M23

Uganda yapeleka wanajeshi katika mpaka na DRC kuzuia waasi wa M23

Serikali ya Uganda imetangaza kuwa, imepeleka wanajeshi wake katika eneo la mpaka wa nchi hiyo na Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo kwa ajili ya kuwa tayari kukabiliana na waasi wa M23. Taarifa ya jeshi la Uganda UPF imeeleza kuwa, wanajeshi wake wamepelekwa katika wilaya ya Kanungu, ambako waasi wa M23 wameendelea kuingia katika mji wa Ishasha,…

AFRICA CDC: Mlipuko wa Ebola Uganda umedhibitiwa, unakaribia kumalizika

AFRICA CDC: Mlipuko wa Ebola Uganda umedhibitiwa, unakaribia kumalizika

Mlipuko wa Ebola nchini Uganda umedhibitiwa na unaweza kutangazwa kuwa umekwisha katika siku chache zijazo, kwani zimepita siku 39 tangu kisa cha mwisho cha virusi hivyo kuripotiwa. Hayo ni kwa mujibu wa tangazo la Vituo vya Afrika vya Kudhibiti na Kuzuia Magonjwa (AFRICA CDC). Ahmed Ogwell Ouma, kaimu mkuu wa AFRICA CDC amesema hadi kufikia…

9 wafariki, wakiwemo watoto 6 katika msongamano wa mkesha wa mwaka mpya Uganda

9 wafariki, wakiwemo watoto 6 katika msongamano wa mkesha wa mwaka mpya Uganda

Watu wasiopungua tisa wamefariki dunia wakiwemo vijana wadogo sita katika msongamano uliotokea wakati wa sherehe za mkesha wa mwaka mpya katika duka kuu moja la mji mkuu wa Uganda, Kampala. Kwa mujibu wa msemaji msaidizi wa polisi ya Uganda Luke Owoyesigyire, inasemekana tukio hilo lilitokea usiku wa manane wa kuamkia jana katika duka kuu la Freedom…

Mafuriko yaua watu 10 kusini mwa Uganda, mamia walazimishwa kuhama makazi yao

Mafuriko yaua watu 10 kusini mwa Uganda, mamia walazimishwa kuhama makazi yao

Maafisa wa serikali ya Uganda wametangaza kuwa mafuriko yaliyotokea jana kusini mwa nchi hiyo yamesababisha vifo vya watu wasiopungua 10. Ripoti zinasema kuwa, zaidi ya familia 400 zimelazimishwa kuhama makazi yao katika wilaya za Rakai na Lyantonde. Mvua kubwa iliyonyesha Desemba 20 imepelekea kujaa maji Mto Rwizi na Ziwa Kijjanibarora na kusababisha mafuriko katika vijiji kadhaa…

Rais Museveni: Mtandao wa Facebook una kiburi, unatumiwa kutushambulia

Rais Museveni: Mtandao wa Facebook una kiburi, unatumiwa kutushambulia

Rais Yoweri Museveni wa Uganda amesema kwamba mtandao wa kijamii wa Facebook utafunguliwa tena nchini humo ikiwa utaacha kile alichokitaja kuwa ni “kucheza michezo.” Facebook ilipigwa marufuku nchini Uganda kabla ya uchaguzi mkuu wa 2021 baada ya kutuhumiwa kuchochea ghasia nchini humo. Akizungumza Ijumaa na wahariri wa vyombo mbali mbali vya habari vya Uganda, Rais…

Serikali ya Uganda yatangaza kudhibitiwa mripuko wa Ebola

Serikali ya Uganda yatangaza kudhibitiwa mripuko wa Ebola

Rais Yoweri Museveni wa Uganda ametangaza rasmi kuwa nchi hiyo imefanikiwa kuudhibiti ugonjwa wa Ebola na amewapongeza raia wa Uganda kwa kuwa makini katika kupambana na ugonjwa huo. Akilihutubia taifa kwa njia ya televisheni na redio, Rais Yoweri Museveni amsema: ‘’Hakuna tena Ebola nchini. Tumeishinda Ebola kwa sababu watu wamesikiliza.” Aidha amewashukuru wafanyakazi wa matibabu…