#uganda

Waziri wa mambo ya nje wa Russia aendelea na ziara yake Afrika kwa kuitembelea Uganda

Waziri wa mambo ya nje wa Russia aendelea na ziara yake Afrika kwa kuitembelea Uganda

Waziri wa mambo ya nje wa Russia Sergey Lavrov amewasili nchini Uganda akiendelea na zaira yake katika nchi kadhaa za Afrika. Hayo ni kwa mujibu wa taarifa iliyotolewa na msemaji wa wizara ya mambo ya nje ya Russia. Akiwa jijini Kampala, Lavrov amelakiwa katika uwanja wa ndege wa kimataifa wa Entebbe na mwenzake wa Uganda…

Iran na Uganda kuimarisha uhusiano wa kiuchumi

Iran na Uganda kuimarisha uhusiano wa kiuchumi

Naibu Waziri wa Mambo ya Nje wa Iran Anayehusika na Diplomasia ya Uchumi amekutana na kuzungumza kwa nyakati tofauti na Rais na Waziri Mkuu wa Uganda kwa lengo la kuimarisha uhusiano wa kiuchumi kati ya nchi mbili. Mahdi Safari amekutana na Waziri Mkuu wa Uganda Robinah Nabbanja na kujadili kuendeleza ushirikiano kati ya nchi mbili…

Spika wa Bunge la Uganda, Jacob Oulanyah aaga dunia

Spika wa Bunge la Uganda, Jacob Oulanyah aaga dunia

Spika wa Bunge la Kitaifa la Uganda, Jacob L’Okori Oulanyah amefariki dunia akitibiwa nchini Marekani. Rais Yoweri Museveni wa Uganda ametangaza kifo cha Oulanyah kupitia taarifa aliyoituma leo katika ukurasa wake rasmi wa mtandao wa kijamii wa Twitter inayosema kuwa: Wananchi wenzangu, nasikitika kutangaza kifo cha Mheshimiwa Jacob Oulanyah, Spika wa Bunge (la Uganda). Nilipokea habari…

Mtoto wa Museveni hajajiuzulu, Jeshi la Uganda lakanusha

Mtoto wa Museveni hajajiuzulu, Jeshi la Uganda lakanusha

Jeshi la Uganda limesema leo Jumatatu kwamba mtoto wa kiume wa Rais Yoweri Museveni, Luteni Jenerali Muhoozi Kainerugaba ambaye anatajwa kuwa ndiye atakayerithi miikoba ya baba yake kama rais ajaye wa Uganda, hajajiuzulu. Muhoozi Kainerugaba alitangaza kwenye mtandao wa Twitter mnamo Machi 8 kwamba amestaafu kutoka kwenye jeshi baada ya utumishi wa zaidi ya miaka 20….