#ugonjwa

WHO, CDC kuchunguza ugonjwa usiojulikana Lindi

WHO, CDC kuchunguza ugonjwa usiojulikana Lindi

Dar es Salaam. Wakati timu ya wataalamu kutoka nje ikitarajiwa kuanza uchunguzi kubaini ugonjwa usiojulikana Lindi, Wizara ya Afya imesema sampuli za vipimo vya maabara zilizochukuliwa kutoka kwa wagonjwa zimeonyesha siyo ugonjwa wa Ebola, Maburg wala Uviko-19. Taarifa iliyotolewa leo Ijumaa Julai 15, 2022 na Waziri wa Afya, Ummy Mwalimu alipokuwa akizungumza kwenye Kikao cha 22…