
Kizazi cha Waingereza weusi chapoteza imani kwa polisi wa nchi hiyo
Matokeo ya utafiti uliofanywa nchini Uingereza yanaonyesha kiwango kikubwa cha kutokuwa na imani kizazi cha vijana weusi wa nchi hiyo kwa polisi; Kwa kadiri kwamba hawataki hata kupiga simu polisi wakatii wa hatari. Kulingana na matokeo ya utafiti wa shirika la ushauri la Uingereza, Crest, asilimia 36 tu ya vijana weusi ndio waliosema kuwa wanawaamini polisi…

Sensa Uingereza: Idadi ya Waislamu yaongezeka; Wakristo wazidi kupungua
Idadi ya Waislamu inazidi kuongezeka kwa kasi nchini Uingereza huku wafuasi wa dini ya Kikristo ikipungua katika taifa hilo la bara Ulaya. Takwimu za sensa ya makazi na watu zinaonyesha kuporomoka kwa idadi ya Wakristo nchini Uingereza na kwamba, chini ya nusu ya idadi ya watu England na Wales ni Wakristo. Kwa mujibu wa takwimu…

Athari za kale zathibitisha: Uingereza ina historia ndefu ya kuuza watumwa
Wanaakiolojia wa Jumba la Makumbusho la Akiolojia la London wametangaza kwamba utumwa umekuwepo nchini Uingereza tangu nyakati za Warumi. Ni baada ya ripoti ya wanaakiolojia wa Jumba la Makumbusho la Akiolojia la London kuthibitisha kwamba, mifupa iliyopatikana katika eneo la Midlands Mashariki ya Uingereza ni ya mwanamume aliyekuwa na umri wa miaka 20 hadi 30…

Wauguzi wa Uingereza kufanya mgomo mwezi ujao kudai malipo bora
Wauguzi kote nchini Uingereza mwezi ujao watafanya mgomo ambao pamoja na mambo mengine unadai malipo bora. Mgomo huo ambao utakuwa wa kwanza katika historia ya miaka 106 ya chama chao cha wauguzi unatarajiwa kujumuisha wafanyakazi wengine wa Uingereza kuchukua hatua za kusimamisha kazi wakidai malipo bora. Wafanyakazi nchini Uingereza, Wales na Ireland ya Kaskazini watafanya…

Mgomo wa wahadhiri 70,000 katika vyuo 150 Uingereza kuathiri wanafunzi zaidi milioni 2.5
Wahadhiri wa vyuo vikuu nchini Uingereza wameanzisha mgomo wa nchi nzima kulalamikia mishahara yao na mazingira ya kazi. Zaidi ya wahadhiri, watafiti na wakutubi elfu sabini wa vyuo vikuu 150 vya Uingereza wamefanya mgomo kwa siku tatu ulioanza jana Alhamisi na kuendelea leo Ijumaa kabla ya kurudiwa tena siku ya Jumatano ijayo, hatua ambayo itaathiri na kukwamisha masomo ya wanachuo…

Uingereza yakiri, silaha zinazopelekwa Ukraine kutwaliwa na magaidi
Mkurugenzi Mkuu wa Wakala wa Kitaifa wa Jinai nchini Uingereza (NCA) amesema silaha zinazopelekwa Ukraine na nchi za Magharibi yumkini zikafanyiwa magendo na kuishia mikononi mwa magenge ya wahalifu na magaidi katika kona mbalimbali za dunia. Graeme Biggar amenukuliwa akisema hayo na gazeti la Sunday Times na kufafanua kuwa, “Katika mgogoro wowote ule, silaha zinapoingizwa…

Uingereza yaazimia kuwaondoa askari wake nchini Mali
Uingereza imetangaza habari ya kutaka kuwaondoa mamia ya askari wa nchi hiyo walioko nchini Mali chini ya Kikosi cha Kulinda Amani cha Umoja wa Mataifa MINUSMA. Waziri wa Vikosi vya Majeshi ya Uingereza, James Heappey ameliambia Bunge la nchi hiyo kuwa, serikali ya London haiwezi kuvumilia udhalilishaji wa nchi mwenyeji, ambayo eti haina azma ya kushirikiana…

Wauguzi wa Uingereza Uwapiga kura kugoma kutokana na ugumu wa maisha
Wauguzi wa Uingereza wamepiga kura kwa mara ya kwanza kugoma kitaifa kiviwanda kabla ya Krismasi, kwani kuongezeka kwa kiwango cha mfumuko wa bei kumewaingiza Waingereza wengi katika hali mbaya ya kiuchumi. Maafisa wa vyama vya wafanyakazi wanasema wauguzi katika “maeneo mengi ya ya nchi” wanaofanya kazi katika majimbo ya England, Scotland, Wales na Ireland Kaskazini…