London. Waziri Mkuu wa Uingereza, Boris Johnson amejiuzulu nafasi ya kiongozi wa Chama cha Conservative. Boris amejiuzulu nafasi hiyo leo Alhamisi Julai 7, 2022 lakini bado atabaki kuwa Waziri Mkuu mapaka chama hicho kitakapopata kiongozi mpya mwezi Oktoba. Katika hotuba yake, Boris amesema “Nina huzuni kuacha kazi bora zaidi duniani. Ninataka ujue jinsi ninavyohuzunishwa na kuacha…
Mkuu wa Tume ya Haki za Binadamu ya Kiislamu nchini Uingereza (IHRC) amesema kuwa mfumo wa utawala wa Marekani unapinga na kupiga vita haki za binadamu na kusisitiza kuwa, mfumo huo unawadhulumu hata raia wa Marekani kwenyewe. Massoud Shajareh amesema inasikitisha kuona kwamba Marekakni imezifanya haki za binadamu kuwa fimbo na kutangaza kuwa, Washington inatumia haki…
Baada ya serikali ya Uingereza kuchukua uamuzi wa kuwahamishia nchini Rwanda wakimbizi wanaoomba hifadhi nchini Uingereza, sasa mahakama ya nchi hiyo nayo imeunga mkono na kuidhinisha uamuzi huo. Jonathan Swift, Jaji wa Mahakama Kuu ya Uingereza ametangaza kuwa, kwa mujibu wa manufaa ya umma ni muhimu kwa Waziri wa Mambo ya Ndani aweze kutekeleza agizo…
Ufunguo wa seli ya gereza ya kisiwa cha Robben alikofungwa Nelson Mandela utarudishwa Afrika Kusini badala ya kupigwa mnada nchini Marekani. Hayo yamesemwa na Waziri wa Utamaduni wa Afrika Kusini, Nathi Mthethwa ambaye alipinga vikali hatua ya Uingereza ya kutaka kuupiga mnada ufunguo huo. Waziri Mthethwa amesema, “ufunguo huo ambao ulipangwa kupigwa mnada New York tarehe 28…