Ujerumani yakosolewa kwa ujumbe wa Twitter wa kuidhalilisha Afrika
Viongozi na watumiaji mitandao ya kijamii katika nchi za Afrika wameijia juu Wizara ya Mambo ya Nje ya Ujerumani kwa kuchapisha ujumbe wa dharau na kulidhalilisha bara hilo. Ebba Kalondo, Msemaji wa Moussa Faki Mahamat, Mwenyekiti wa Kamisheni ya Umoja wa Afrika ameashiria ujumbe huo wa udhalilishaji wa Ujerumani dhidi ya Afrika na kusema kuwa, nchi…
Waziri wa Ulinzi Ujerumani ajiuzulu baada ya makosa kadhaa
Waziri wa Ulinzi wa Ujerumani Christine Lambrecht amejiuzulu Jumatatu huku wizara aliyokuwa akisimamia ikiwa chini ya mashinikizo ya kuipatia Ukraine silaha hatari. Kujiuzulu kwake kulikuwa hitimisho la mashaka yaliyoongezeka juu ya uwezo wake wa kufufua vikosi vya jeshi la Ujerumani huku vita vikiendelea kati ya Ukraine na Russia. Lambrecht alikuwa amekosolewa kwa miezi kadhaa kutokana…
New York Times: Wapangaji wa mapinduzi walitaka kumuua Kansela wa Ujerumani
Gazeti la New York Times la Marekani limefichua kuwa wanachama wa kundi la mrengo wa kulia la “Reich Citizens” lililohusishwa na njama ya mapinduzi huko Ujerumani lilikuwa na nia ya kumuua Kansela wa nchi hiyo, Olaf Schultz. Huku uvumi wa vyombo vya habari kuhusu mapinduzi yaliyofeli nchini Ujerumani ukiendelea kutapakaa, gazeti la New York Times limevinuu…
Kufutwa kazi mtangazaji wa TV Ujerumani kwa kuiunga mkono Palestina; utendaji wa kindumakuwili wa Magharibi
Kanali ya televisheni ya KiKA ya Ujerumani imemfuta kazi Matondo Castlo mwendeshaji wa kipindi cha watoto baada ya kushiriki katika maandamano ya amani katika mji wa Bait Dajan huko mashariki mwa mji wa Nablus. Uongozi wa Televisheni hiyo ya Ujerumani umemtuhumu Matondo kwamba, ana chuki na utawala wa Kizayuni. Magazeti ya Ujerumani yameandika taarifa kuhusu kushiriki…
Mtangazaji wa TV wa Ujerumani afutwa kazi kwa kuiunga mkono Palestina
Matondo Castlo mwendeshaji wa kipindi cha watoto katika kanali ya televisheni ya KiKA ya Ujerumani amefutwa kazi baada ya kushiriki maandamano ya amani katika mji wa Bait Dajan huko mashariki mwa mji wa Nablus. Ametuhumiwa kuwa ana chuki dhidi ya utawala wa Kizayuni. Matondo Castlo alituma ujumbe kwenye akaunti yake ya Instagram kwamba alifutwa kazi wiki hii…
Shambulio la polisi ya Ujerumani katika makao ya mrengo wa kulia wenye misimamo mikali
Maelfu kadhaa ya polisi na vikosi vya usalama vya Shirikisho la Ujerumani vilivamia na kushambulia makao kadhaa ya kundi la mrengo wa kulia katika operesheni iliyofanyika katika pembe tofauti za nchi hiyo Jumatano asubuhi. Inasemekana kwamba wanachama wa kundi hilo walikuwa wamepanga kushambulia bunge la Ujerumani siku ambayo haikutajwa na kupindua serikali kwa kutumia nguvu….
Ripoti: Harakati ya kutetea ushoga iliibua tatizo kubwa ndani ya timu ya taifa ya Ujerumani huko Qatar
Harakati ya “kuziba midomo” iliyofanywa na wachezaji wa timu ya taifa ya mpira wa miguu ya Ujerumani kwenye mechi yao ya ufunguzi katika Kombe la Dunia 2022 huko Qatar dhidi ya Japan, ilisababisha matatizo ndani ya kambi ya timu hiyo, na kuibua tofauti kati ya wachezaji ambao walikataa kushiriki kwenye kampeni ya kutetea ushoga. Harakati hiyo ya…
Ujerumani, mkiukaji mkubwa wa haki za binadamu katika joho la mtetezi wa haki za binadamu
Ujerumani, kama mwanachama wa Umoja wa Ulaya, pamoja na Marekani, imechukua mtazamo wa kiadui na kuingilia masuala ya ndani ya Iran wakati wa machafuko na ghasia za hivi karibuni. Alhamisi iliyopita Ujerumani iliwasilisha ombi la kuitishwa kikao cha Baraza la Haki za Binadamu la Umoja wa Mataifa kwa kisingizio kwamba Jamhuri ya Kiislamu ya Iran…
- 1
- 2