#ukraine

Iran iko tayari kusaidia utatuzi wa kidiplomasia wa mzozo wa Ukraine

Iran iko tayari kusaidia utatuzi wa kidiplomasia wa mzozo wa Ukraine

Iran imesisitiza dhamira yake ya kuchangia katika utatuzi wa kidiplomasia wa mzozo unaotokota nchini Ukraine, ambao sasa unaingia mwezi wa tano. Waziri wa Mambo ya Nje wa Iran Hossein Amir-Abdollahian katika mazungumzo ya simu na mwenzake wa Ukraine Dmytro Kuleba  ameashiria msimamo wa Iran wa kupinga vita na kusisitiza juu ya kutatuliwa mgogoro huo kwa njia…

Sputnik: Marekani inawasajili magaidi wa Daesh ili kuwatuma Ukraine.

Sputnik: Marekani inawasajili magaidi wa Daesh ili kuwatuma Ukraine.

Shirika la habari la Sputnik limeripoti kuwa, Shirika la Ujasusi la Marekani (CIA) linawasajili magaidi wa Daesh (ISIS) ili wapelekwe Ukraine kwa kisingizio cha vita nchini humo. Sputnik imeripoti kuwa, shirika la ujasusi la CIA linasajili magaidi wa ISIS katika magereza au maficho yao eneo la Asia Magharibi ili kuwapeleka kupigana Ukraine kama mamluki. Ripoti hiyo inakuja…

New York Times yafichua shughuli za siri za CIA na kikosi maalumu cha Marekani Ukraine

New York Times yafichua shughuli za siri za CIA na kikosi maalumu cha Marekani Ukraine

Gazeti la New York Times linalochapishwa nchini Marekani limefichua kuhusu harakati za siri zinazofanywa na Shirika la Kijasusi la Marekani (CIA) na kikosi maalumu cha wanajeshi wa nchi hiyo huko Ukraine. New York Times limefichua kuwa kanali ya siri ya majasusi wa CIA na kikosi maalumu cha wanajeshi wa Marekani na nchi waitifaki dhidi ya…

Idara ya Ulinzi ya Uingereza: Waukraine wabomoa madaraja baada ya kurejea nyuma

Idara ya Ulinzi ya Uingereza: Waukraine wabomoa madaraja baada ya kurejea nyuma

Wizara ya Ulinzi ya Uingereza, imeeleza kua kilomita 90 ya mstari wa mbele wa vita kati ya vikosi vya Kirusi na Kiukreni ziko magharibi mwa Mto Siversky Donetsk na kusema kua kuvuka kwa Warusi kwenye mto huu ni uamuzi bora na muhimu. Baada ya kukiri kuwa jeshi la Ukraine lilikuwa limejiondoa kutoka mstari wa mbele…

Madai ya London: Urusi inalenga kupenya ndani kabisa ya jimbo la Donetsk

Madai ya London: Urusi inalenga kupenya ndani kabisa ya jimbo la Donetsk

Wizara ya Ulinzi ya Uingereza ilidai kuwa jeshi la Ukraine lilikuwa likipinga hatua ya Urusi kusonga mbele,  na kusema kua Moscow ilikuwa ikijaribu kuiteka Sverodontsk. Wakati huo huo Waziri wa Ulinzi wa Urusi akitangaza kwamba vikosi vyake vinasonga mbele mashariki mwa Ukraine na kuchukua udhibiti wa maeneo 15 muhimu, London ilidai kwamba Warusi walikuwa wakijaribu…

Putin aionya Ukraine isijaribu kumiliki makombora ya masafa marefu

Putin aionya Ukraine isijaribu kumiliki makombora ya masafa marefu

Rais Vladimir Putin wa Russia ameionya Ukraine kuwa itakabiliwa na mashambulio makali zaidi iwapo itathubutu kupokea makombora ya masafa marefu kutoka nchi za Magharibi. Akiungumza katika mahojiano na Televisheni ya Russia 1 leo Jumapili, Rais Putin ameashiria uwezekano wa Ukraine kupokea makombora ya masafa marefu na kusema: “Iwapo itakabidhiwa makombora hayo, basi tutatumia silaha zetu,…

Zelinsky: Uwezekano wa Vita vya Tatu vya Kidunia sio jambo la kupuuzwa

Zelinsky: Uwezekano wa Vita vya Tatu vya Kidunia sio jambo la kupuuzwa

Katika mahojiano na mtandao wa habari siku ya Jumatatu, rais wa Ukraine alionya kwamba uwezekano wa vita vya tatu vya kidunia hauwezi kuepukika na kupuuzwa. Kulingana na Huduma ya Kimataifa ya Shirika la Habari la Fars, Rais wa Ukrain Volodymyr Zelensky alisema kuwa Urusi ilianzisha vita kwa kuteka maeneo ya Ukraine. “Vita hivyo viko nchini…

Ilhan Omar aipinga kauli ya mwakilishi wa Marekani Umoja wa Mataifa

Ilhan Omar aipinga kauli ya mwakilishi wa Marekani Umoja wa Mataifa

Mbunge wa chama cha Democratic katika Baraza la Wawakilishi la Marekani amepinga matamshi yaliyyotolewa mwakilishi wa Marekani katika Umoja wa Mataifa aliyedai kuwa vita vya Russia nchini Ukraine ndio chanzo cha uhaba wa chakula nchini Yemen. Shirika la Mpango wa Chakula Duniani (WFP) lililazimika kupunguza mgao wa watu milioni nane nchini Yemen mapema mwaka huu…