
Maendeleo ya hivi punde nchini Ukraine, Urusi ipo tayari kwa sehemu ya pili ya mazungumzo
Mashambulizi ya makombora na mizinga ya Urusi katika miji ya Ukraine yanaendelea, na ripoti kuwa mji wa Kherson ulioko kusini mwa Ukraine umetekwa na vikosi vya Urusi. Shirika la Kimataifa la Habari la Fars – Mapigano nchini Ukraine yameingia siku ya saba leo, Jumatano, huku mashambulio ya makombora na mizinga ya Urusi yakiendelea. Vyanzo vya…

Mazungumzo ya Russia na Ukraine mjini Belarus hayajulikani hatima yake
Televisheni ya taifa ya Russia imetangaza kuwa duru ya kwanza ya mazungumzo kati ya wajumbe wa nchi hiyo na Ukraine imemalizika nchini Belarus, lakini haijafahamika iwapo mazungumzo hayo yataendelea au la. Mazungumzo yana lengo la kuzima moto wa vita vilivyoanza Alkhamisi iliyopita kati ya nchi hizo mbili. Awali mkuu wa timu ya mazungumzo ya Russia huko…

Usambazaji wa silaha 10,000 na maagizo ya uhamasishaji wa raia
Maafisa wa Ukraine wanasambaza bunduki kwa raia, na mapigano makali yanaendelea katika baadhi ya miji ya mpakani. Kwa mujibu wa Shirika la Habari la Kimataifa la Fars ; Takriban ndani ya masaa 18 baada ya kuanza kwa operesheni maalum ya kijeshi ya Urusi katika eneo la Denbas, maafisa wa Ukraine walisambaza bunduki kwa raia, na…

Sayyid Hashem Safieddine: Ukraine ilifanya makosa kuitegemea Marekani
Mkuu wa Baraza Kuu la harakati ya Hizbullah ya Lebanon amesema ni makosa kwa baadhi ya nchi kutegemea uungwaji mkono na himaya ya Marekani, na kwamba kadhia ya Ukraine imethibitisha tena ukweli huo. Akizungumzia vita vya Ukraine, Mwenyekiti wa Baraza Kuu la Hizbullah, Sayyid Hashem Safieddine amesema kuwa Lebanon itajiondoa katika majanga yote kwa ukombozi wa…

Umoja wa Afrika waamuru kusitishwa kwa mgogoro wa Ukraine
Umoja wa Afrika umetoa mwito wa kusimamishwa haraka iwezekanavyo mgogoro wa Ukraine. Mwenyekiti wa Umoja wa Afrika, ambaye pia ni Rais wa Senegal Macky Sall, pamoja na Mwenyekiti wa Kamisheni ya AU, Moussa Faki Mahamat wametangaza kusikitishwa kwao na vita baina ya Russia na Ukraine huko mashariki mwa Ulaya. Taarifa ya viongozi hao iliyotolewa na…

Watu 137 wauawa katika siku ya kwanza ya vita vya Ukraine
Rais Volodymyr Zelenskyy wa Ukraine amesema kuwa, watu 137 wameuawa katika siku ya kwanza tu ya vita vya Russia nchini mwake. limemnukuu Zelenskyy akisema hayo mapema leo Ijumaa na kuongeza kuwa, tangu vilipoanza vita vya pande zote za Russia dhidi ya nchi yake, watu 137 wameshauawa na 306 wamejeruhiwa katika kipindi cha chini ya masaa…

Antonio Guterres: Tutajitahidi kutatua mgogoro wa Ukraine bila umwagaji zaidi wa damu
Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa Antonio Guterres amesema ofisi yake inafanya jitihada zote ili kutatua mgogoro wa Ukraine bila umwagaji zaidi wa damu. Akizungumza mjini New York, Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa ameongeza kuwa, kuna haja ya kukutana na kukabiliana na changamoto hii pamoja kwa ajili ya amani, na kuokoa watu wa Ukraine…

Mambo yalivyo nchini Ukraini, huku Urusi ikiwa na shughuli maalum mashariki mwa nchi hiyo
Katika kujibu ombi la usaidizi wa kijeshi kutoka kwa viongozi wa eneo linalotaka kujitenga la mashariki mwa Ukraine, rais wa Urusi aliamuru operesheni maalum kwenye eneo hilo linaloitwa Donbas. Rais wa Urusi Vladimir Putin ameamuru Jeshi la Urusi kuanzisha operesheni maalum katika eneo la Donbas; Wizara ya Ulinzi ya Urusi ilisema katika taarifa yake kwamba…