#Ulaya

Mgogoro wa nishati Ulaya, vyuo vikuu vya Ujerumani navyo havikusalaimika

Mgogoro wa nishati Ulaya, vyuo vikuu vya Ujerumani navyo havikusalaimika

Mgogoro wa nishati umezidi kuwa mkubwa katika nchi za Ulaya kiasi kwamba vyuo vikuu vya Ujerumani vimelazimika kuweka kwenye ajenda yake ubanaji wa matumizi ya nishati. Shirika la habari la IRNA limeripoti habari hiyo leo na kuongeza kuwa, Chuo Kikuu cha Freiburg cha Ujerumani kimetoa taarifa na kusema kuwa mgogoro wa hivi sasa wa nishati umeathiri…

Bunge la EU launga mkono ghasia nchini Iran, lavunja uhusiano na Tehran

Bunge la EU launga mkono ghasia nchini Iran, lavunja uhusiano na Tehran

Katika hatua isiyo ya kidiplomasia na inayolenga kushajiisha zaidi fujo na ghasia hapa nchini Iran, Bunge la Umoja wa Ulaya limetangaza kukata uhusiano na Jamhuri ya Kiislamu. Katika taarifa, Rais wa Bunge la EU, Roberta Metsola amesema: Katika kujibu vikwazo vya Iran dhidi ya taasisi hii, mawasiliano baina ya jumbe na kamati za Bunge la Ulaya…

Infantino: Nchi za Ulaya zinafanya unafiki, hazina hadhi ya kutoa somo la maadili

Infantino: Nchi za Ulaya zinafanya unafiki, hazina hadhi ya kutoa somo la maadili

Rais wa Shirikisho la Soka Duniani (FIFA) Gianni Infantino, amezishambulia nchi za Magharibi zinazoiandama Qatar, mwenyeji wa mashindano ya Kombe la Dunia, eti kwa rekodi yake ya haki za binadamu, akisema hatua inayochukuliwa na wakosoaji ni ya kinafiki. Katika mkutano wake na waandishi habari mjini Doha, siku moja kabla ya kuanza mashindano ya Kombe la…

Vikwazo vipya vya Umoja wa Ulaya na Uingereza dhidi ya Iran; mkinzano wa vitendo na kaulimbiu

Vikwazo vipya vya Umoja wa Ulaya na Uingereza dhidi ya Iran; mkinzano wa vitendo na kaulimbiu

Jumatatu ya jana tarehe 14 Novemba, Umoja wa Ulaya na Uingereza zilitangaza kuiwekea vikwazo vipya Jamhuri ya Kiislamu ya Iran katika hatua iliyopangwa na kuratibiwa baina ya pande mbili hizo. Uingereza imetangaza kuwaweka katika orodha yake ya vikwazo watu na taasisi 24 za Kiirani kwa kisingizio cha kile kilichoelezwa kuwa kukiuka haki za binadamu. Hatua…

Kukabidhiwa watoto wa kike wa Kiislamu kwa mashoga nchini Uswidi kwazua wimbi la malalamiko

Kukabidhiwa watoto wa kike wa Kiislamu kwa mashoga nchini Uswidi kwazua wimbi la malalamiko

Mkanda wa video uliorushwa hewani kupitia mitandao ya kijamii kuhusu mashoga wawili waliopewa haki ya kulea mtoto wa kike wa Kiislamu umeibua hasira za watumiaji wengi wa mitandao ya kijamii katika nchi za Kiislamu. Wakimbizi katika nchi za Ulaya wanakabiliwa na mateso na changamoto mpya. Katika mkondo huo inaripotiwa kuwa, iwapo Idara ya Masuala ya…

Utafiti: Theluthi moja ya Wazungu wamenyanyaswa kingono wakati wa masomo vyuoni

Utafiti: Theluthi moja ya Wazungu wamenyanyaswa kingono wakati wa masomo vyuoni

Uchunguzi uliofanyika barani Ulaya uliochapishwa Jumatatu wiki hii umeonyesha kwamba karibu thuluthi moja ya wanafunzi au wafanyakazi katika vyuo vikuu wamepitia aina fulani ya unyanyasaji wa kingono. Kulingana na utafiti huo uliofanywa na Taasisi ya Leibniz ya Sayansi ya Jamii huko Cologne, Ujerumani, karibu thuluthi moja ya waliohojiwa wamenyanyaswa kingono wakiwa masomoni au kazini, asilimia…

IOM: Idadi ya vifo vya wahajiri kuelekea Ulaya imeongezeka zaidi mwaka huu

IOM: Idadi ya vifo vya wahajiri kuelekea Ulaya imeongezeka zaidi mwaka huu

Shirika la Kimataifa la Uhamiaji (IOM) limetangaza kwamba idadi ya vifo vya watu wanaotafuta hifadhi imeongezeka kwa kiasi kikubwa kwenye njia za nchi kavu na baharini kuelekea Ulaya ikilinganishwa na mwaka jana. Shirika la Kimataifa la Uhamiaji (IOM) limetangaza mjini Berlin kuwa watu wasiopungua 5,684 wamefariki dunia wakijaribu kukimbilia Ulaya kati ya Agosti 2021 na Septemba…

Maandamano ya Ulaya dhidi ya kuzorota hali ya kiuchumi

Maandamano ya Ulaya dhidi ya kuzorota hali ya kiuchumi

Kufuatia kuenea mgogoro wa kiuchumi katika nchi mbalimbali za Ulaya, wananchi wengi wameandamana katika nchi kama vile Ujerumani, Ufaransa, Uingereza na Romania kulalamikia hali mbaya ya maisha. Kuongezeka kwa gharama ya maisha, matatizo ya nishati na wasiwasi unaosababishwa na msimu ujao wa baridi kali pamoja na ongezeko la ushuru na ukosefu wa huduma ni kati…