Mabadiliko yoyote ambayo utawala haramu wa Israel unapanga kuyatekeleza katika hali ya miongo kadhaa iliyopita katika ukuta wa eneo lote la Msikiti wa Al-Aqsa mjini Quds (Jerusalem) yanaweza kuzua vita vya kidini katika eneo hilo. Onyo hilo limetolewa na Idara ya Wakfu ya Kiislamu, inayosimamia Msikiti wa Al-Aqsa na maeneo matakatifu ya Waislamu mjini Quds….