Historia ya soka iliwekwa siku ya Jumamosi, wakati kadi nyeupe, ambayo inatumika kuthamini moyo wa kimichezo ilipoonyeshwa kwa mara ya kwanza katika mechi ya ligi nchini Ureno. Wakati kadi za njano na nyekundu zimekuwa zikitumika kwa miongo kadhaa kutoa adhabu kwa wachezaji, shirikisho la soka la Ureno hivi majuzi lilianzisha utoaji kadi nyeupe ili kuwapa…