#uswisi

Maandamano makubwa nchini Uswisi kulalamikia mshahara mdogo na ugumu wa maisha

Maandamano makubwa nchini Uswisi kulalamikia mshahara mdogo na ugumu wa maisha

Maandamano makubwa yamefanyika katika mji wa Lausanne nchini Uswisi kulalamikia kiwango cha chini cha mishahara, ugumu wa maisha na kupanda bei za bidhaa ambako hakuendani na mshahara wa wafanyakazi. Kwa mujibu wa shirika la habari la IRIB, maelfu ya raia wa Uswisi walifanya maandamano makubwa Jumatatu usiku katika mji wa Lausanne, wakitaka nyongeza ya mishahara…