#uturuki

Uhusiano wa Uturuki na Israel walipiga jambia kwa nyuma taifa la Palestina

Uhusiano wa Uturuki na Israel walipiga jambia kwa nyuma taifa la Palestina

Kiongozi mmoja wa ngazi za juu wa Harakati ya Ukombozi wa Wananchi wa Palestina amelaani vikali hatua ya Uturuki ya kurejesha uhusiano wa kawaida na utawala wa Kizayuni wa Israel. Jumatano iliyopita, Uturuki na utawala wa Kizayuni zilikubaliana kufufua uhusiano baina yao baada ya kusimama kwa muda wa miaka minne. Mwaka 2018 Uturuki ilisimamisha uhusiano…

Iraq yakaribisha taarifa ya Baraza la Usalama la UN dhidi ya mashambulio ya Uturuki

Iraq yakaribisha taarifa ya Baraza la Usalama la UN dhidi ya mashambulio ya Uturuki

Wizara ya mambo ya nje ya Iraq imeonyesha msimamo wake wa kwanza kuhusiana na taarifa ya Baraza la Usalama la Umoja wa Mataifa na kutangaza kuwa, matini ya taarifa hiyo inaunga mkono misimamo ya nchi hiyo. Jumatano iliyopita, Uturuki ilishambulia mji wa kitalii wa Zakho ulioko kwenye mkoa wa Dahok nchini Iraq na kuua watu…

Iran: Utawala wa Kizayuni ndio adui namba moja wa umma wa Kiislamu

Iran: Utawala wa Kizayuni ndio adui namba moja wa umma wa Kiislamu

Waziri wa Mambo ya Nje wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amesema utawala wa Kizayuni ndio adui nambari moja wa ulimwengu wa Kiislamu. Hossein Amir-Abdollahian alisema hayo jana Jumatatu mjini Ankara katika kikao na waandishi wa habari akiwa na mwenzake wa Uturuki, Mevlut Cavusoglu, ambapo pia amelipongeza taifa la Uturuki kwa kuunga mkono ukombozi wa Palestina. Amir…

Maandamano makubwa ya kupinga Israel nchini Uturuki

Maandamano makubwa ya kupinga Israel nchini Uturuki

Wananchi wa Uturuki jana Ijumaa, kwa mara nyingine tena walimiminika mabarabarani katika maandamano ya kulaani ziara tata ya rais wa utawala wa Kizayuni wa Israel nchini mwao. Waturuki walioshiriki maandamano ya jana walikuwa wamebeba bendera za harakati za mapambano za Hizbullah ya Lebanon na Ansarullah ya Yemen, na vilevile picha za Shahidi Luteni Jenerali Qassem Soleimani,…