
Hezbollah – Iraq: Uwepo wa Israel Kurdistan unaitumbukiza Iraq katika vita
Msemaji wa jeshi la Hizbullah, Kataeb amesisitiza kuwa, tayari ushahidi umetolewa kuhusu uwepo wa utawala wa Kizayuni huko Kurdistan – Iraq. Kwa mujibu wa Idhaa ya Kimataifa ya Shirika la Habari la Fars, Jafar al-Husseini, msemaji wa kijeshi wa vitabu vya Hizbullah nchini Iraq amesisitiza kuwa, vikosi vya muqawama vya Iraq vina uwezo wa kujihami…

Ulinzi wa anga wa Damascus wakabiliana na utawala wa Kizayuni
Shirika la habari la SANA limeripoti kuwa mifumo ya ulinzi wa anga ya jeshi la Syria katika viunga vya Damascus imeanzishwa ili kukabiliana na mashambulizi ya utawala wa Kizayuni. Vyombo vya habari vya ndani viliripoti Alhamisi asubuhi kwamba mlipuko ulisikika katika mji mkuu wa Syria, Damascus.Wakati huo huo baadhi ya duru zimeripoti kuwa, utawala wa…

Wanajeshi wa Kizayuni waendelea na ubomozi wa nyumba za Wapalestina
Wanajeshi wa utawala wa Kizayuni wa Israel wamebomoa nyumba 11 za raia wa Palestina katika Ukingo wa Magharibi wa Mto Jordan. Kwa mujibu wa Shirika la Habari la Mehr, wanajeshi wa utawala wa Kizayuni wa Israel leo Jumatano wamebomoa nyumba 11 , kituo cha huduma mbali mbali na kisima cha maji ya Wapalestina katika eneo…

Je, Wachaga wana asili ya Uyahudi?
Wakati fulani Wachaga walinasibishwa na Uyahudi. Ilidaiwa kuwa kabila hilo lina nasaba na Wayahudi wa Ethiopia. Hata hivyo, kabila hilo linalopatikana kaskazini mwa Tanzania, linaelezwa kuwa limetokana na mchanganyiko wa wahamaji kutoka makabila mbalimmbali wakiwamo Wakamba, Wataita, Wamasai na Wasambaa. Miongoni mwa waliofanya utafiti na kuandika kuhusu hili ni aliyekuwa mhadhiri wa historia katika Chuo…