#venezuela

Rais wa Venezuela: Ubeberu wa Marekani umefikia kwenye hatua hatarishi zaidi

Rais wa Venezuela: Ubeberu wa Marekani umefikia kwenye hatua hatarishi zaidi

Rais Nicolás Maduro wa Venezuela ametahadharisha kuwa ubeberu wa Marekani umeingia katika hatua hatarishi zaidi na unajaribu kufanya kila njia ili kuzusha mapigano na kuwasha moto wa vita duniani. Kwa mujibu wa Shirika la Utangazaji la Jamhuri ya Kiislamu ya Iran IRIB, Maduro ametangaza kuwa ubeberu wa Marekani umeingia katika hatua ambayo sera, maadili, uchumi…

Uturuki yataka vikwazo dhidi ya Iran na Venezuela viondolewe ili kupunguza bei ya mafuta duniani

Uturuki yataka vikwazo dhidi ya Iran na Venezuela viondolewe ili kupunguza bei ya mafuta duniani

Uturuki imetoa wito wa kuondolewa vikwazo vya nchi za Magharibi dhidi ya Iran na Venezuela huku kukiwa na mzozo wa nishati duniani uliochochewa na oparesheni ya kijeshi ya Russia nchini Ukraine. Ongezeko la bei ya nishati hasa petrol na gesi duniani ni chanzo cha kupanda gharama ya maisha kwa mamia ya mamilioni ya watu duniani…

Maduro atarajiwa kuizuru Tehran siku ya Jumamosi

Maduro atarajiwa kuizuru Tehran siku ya Jumamosi

Rais wa Venezuela atarajiwa kufanya ziara rasmi mjini Tehran akibeba ujumbe wa ngazi za juu za kisiasa na kiuchumi. Rais wa Venezuela Bw. Nicolas Maduro anatarajiwa kuwasili mjini Tehran mapema siku ya Jumamosi asubuhi kufuatia mwaliko rasmi kutoka kwa Rais Ayatollah Seyyed Ibrahim Ra’isi akibeba ujumbe wa ngazi za juu kutoka kwa maafisa wa kisiasa…