Rais wa Vietnam ametangaza kujiuzulu kutokana na utepetevu na makosa yaliyofanywa na maafisa aliokuwa akiwasimamia, ikiwa ni chini ya miaka miwili baada ya kuchukua wadhifa huo. Nguyen Xuan Phuc, 68, amewasilisha barua ya kujiuzulu, baada ya chama tawala cha Kikomunisti kumpata na hatia na kumbebesha dhima ya makosa yaliyofanywa na maafisa kadhaa wa serikali yake. Shirika…
Rais wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amesema katika hafla ya kupokea hati za utambulisho za balozi mpya wa Vietnam mjini Tehran kwamba historia haitasahau kamwe jinai zilizofanywa na Marekani dhidi ya taifa la Vietnam. Inakadiriwa kuwa, zaidi ya milioni tatu waliuawa wakati wa vita vya Marekani dhidi ya taifa la Vietnam. Vilevile karibu galoni milioni 18 na…