Rais wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amemtaja Nabii Isa Masih (AS) kuwa ni nembo ya mapambano dhidi ya madhalimu. Sayyid Ebrahim Raisi amesema hayo katika ujumbe aliowatumia viongozi wa ulimwengu wa Kikristo, kwa mnasaba wa maadhimisho ya kuwadia mwaka mpya wa Miladia wa 2022. Sambamba na kuwapongeza Wakristo kwa mnasaba wa kuanza mwaka mpya…