Dar es Salaam. Siku moja baada ya Rais wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan kukemea tabia ya watumishi wa afya kutekeleza wagonjwa, Baraza la Uuguzi na Ukunga Tanzania (TNMC) limewasimamisha kazi wakunga wawili kwa kosa kutelekeza wajawazito na kusababisha madhara kwa akina mama waliofika kujifungua. Watumishi hao ni pamoja John Chuma wa Zahanati ya Boheloi iliyopo Lushoto,…