#Walimu

Qnet yawaponza walimu, wafukuzwa kazi

Qnet yawaponza walimu, wafukuzwa kazi

Geita. Tume ya utumishi wa walimu wilayani Geita mkoani Geita imewafukuza kazi walimu wanane kwa utoro kazini. Walimu hao ambao sita ni wa shule za msingi na wawili wa sekondari, wanadaiwa kujishughulisha na biashara za Qnet badala ya kumtumikia mwajiri huku wengine wakidaiwa kuathiriwa na biashara hizo baada ya kujikuta wanadaiwa na wafanyakazi wenzao waliowaingiza kwenye…

Katibu Mkuu wa CWT na mwenzake wahukumiwa miezi sita jela

Katibu Mkuu wa CWT na mwenzake wahukumiwa miezi sita jela

Dar es Salaam. Katibu Mkuu wa Chama Cha Walimu nchini Tanzania (CWT), Deus Seif na Mwekahazina wa chama hicho, Abubakari Allawi, wamehukumiwa kifungo cha miezi sita jela, baada ya kupatikana na hatia ya kutumia madaraka yao vibaya kwa kuchepusha Sh 13.9milioni mali ya CWT. Hukumu hiyo imesomwa jana usiku Juni 28, 2022 katika Mahakama ya Hakimu…