Moshi. Wanafunzi waliofanya vizuri katika masomo ya sayansi kitaifa, wa Shule ya Sekondari Wari Wilaya Hai mkoani Kilimanjaro, Philipo Ng’eleshi (PCB) amesema siri ya mafanikio ni kuongeza bidii ya kusoma. Shule hiyo inayomilikiwa na Jumuiya ya Wazazi ya Chama cha Mapinduzi (CCM) ambayo imetoa wavulana wawili kumi bora kitaifa, masomo ya sayansi, Philipo Ng’eleshi (PCB) alishika…