#wananchi

Warioba: Katiba irudi kwa wananchi

Warioba: Katiba irudi kwa wananchi

ar es Salaam. Waziri Mkuu Mstaafu, Jaji Joseph Warioba amesisitiza msimamo wake kuhusu mchakato wa mabadiliko ya Katiba akitaka maoni ya wananchi yapewe kipaumbele. Warioba alisema hayo jana baada ya kutoa maoni yake katika Kikosi Kazi cha maoni ya demokrasia na vyama vya siasa, akitahadharisha maoni ya wananchi yasibezwe. Pia alieleza akishangazwa kuona maoni ya viongozi…