Uraia pacha unaweza kuchochea ongezeko la uwekezaji na kuharakisha maendeleo ya uchumi unaotegemea maarifa nchini Tanzania. Tanzania ndio taifa pekee la Jumuiya ya Afrika Mashariki ambalo haliruhusu uraia pacha katika utu uzima. Serikali ya Tanzania imekanusha mara kwa mara dhana ya uraia wa nchi mbili, ikisisitiza kwamba utaratibu huo utaleta ukosefu wa usawa na mkanganyiko…
Dodoma. Unaweza kuita bajeti ya 2022/2023 ni bajeti ya wananchi kutokana na mambo sita makubwa yaliyozingatiwa, ikiwamo fedha nyingi kuelezwa kuwa itapelekwa kwenye wa miradi inayogusa watu wengi na kulenga kupunguza makali ya maisha kwa Watanzania. Mambo mengine yaliyozingatiwa katika bajeti hiyo, ni kuongeza bajeti katika sekta zinazohusu watu wengi na Serikali kukubali kusikiliza maoni ya…