Dar es Salaam. Mwanasheria Mkuu mstaafu wa Serikali, Jaji Frederick Werema amesema kutoshirikishwa kwa wananchi katika utungaji wa sheria ndiyo chanzo cha wananchi kulalamikia sheria hizo. Werema ameishauri Serikali kabla ya sheria hazijatungwa na Bunge ni lazima ushirikishwaji ufanyike zaidi ya mara moja ili kuwapa fursa Watanzania watoe maoni yao kusaidia kuboresha na kujua wanachotaka. Jaji…