Jamhuri ya Kiislamu ya Iran imelikosoa vikali gazeti la Kimarekani la Wall Street Journal kwa kuchapisha makala ya kipumbavu na ya kihasama dhidi ya Jamhuri ya Kiislamu, wakati huu wa kuendelea kufanyika mazungumzo ya kuiondolea vikwazo Iran huko Vienna. Taarifa ya Ubalozi wa Kudumu wa Iran katika Umoja wa Mataifa imesema kuwa, hatua ya gazeti…