
Iran na Zimbabwe kusaini makubaliano ya kuimarisha ushirikiano
Jamhuri ya Kiislamu ya Iran na Zimbabwe zinanatazamiwa kusaini hati kadhaa za makubaliano ya kuimarisha ushirikiano wa pande mbili ndani ya wiki kadhaa zijazo. Hayo yamesemwa na Solat Mortazavi, Waziri wa Leba na Masuala ya Kijamii wa Iran katika mazungumzo yake hapa jijini Tehran jana Jumamosi na Dakta Sekai Nzenza, Waziri wa Viwanda na Biashara wa Zimbabwe….

Iran na Zimbabwe zaazimia kupanua ushirikiano wa kimichezo
Jamhuri ya Kiislamu ya Iran na Zimbabwe zimeazimia kupanua zaidi ushirikiano wao katikka nyanja mbalimbalii ukiwemo uga wa michezo. Uamuzi huo umefikiwa katika kikao cha tisa cha Kamisheni ya Pamoja ya Ushirikiano ya Jamhuri ya Kiislamu ya Iran na taifa la Kiafrika la Zimbabwe kilichofanyika leo hapa mjini Tehran. Taarifa zaidi zinasema kuwa, imependekezwa katika…

Mke wa Rais wa Zimbabwe asisitiza kustawishwa uhusiano wa nchi yake na Iran
Mke wa Rais wa Zimbabwe amesisitiza juu ya udharura wa nchi yake kuimarisha uhusiano na Jamhuri ya Kiislamu ya Iran. Mama Auxillia Mnangagwa ambaye yuko safarini hapa nchini amesema hayo katika mazungumzo yake mjini Tehran na Hussein Amir-Abdollahian, Waziri wa Mashauri ya Kigeni ya Jamhuri ya Kiislamu ya Iran. Aidha amesema ana matarajio muda si…