Tanzania yauza tani 600 za bidhaa eneo huru la biashara Afrika
Muktasari:
Waziri wa Viwanda na Biashara, Dk Ashatu Kijaji amesema utekelezaji wa Mkataba wa Eneo Huru la Biashara Afrika (AfCFTA), umeanza kuzaa matunda baada ya kampuni nane za Kitanzania kupeleka bidhaa katika mataifa mbalimbali ya Afrika.