Waisraeli wanne wafukuzwa kutoka kwenye hoteli moja nchini Tanzania kwa kulalamika kuhusu ‘Sticker’ yenye maandishi ya “free palestine” yaliyokua kwenye gari la meneja

Hoteli ya Canary nungwi mjini Zanzibar iliwatimua Waisraeli wanne waliomhoji mhudumu aliyekua katika sehemu ya mapokezi ya wageni kuhusu gari lililokuwa  nje ya jengo hilo lililokua na stika zenye maandishi ya “free palestine”.

Waisraeli hao walielezwa kwamba gari hilo ni la meneja wa hoteli hiyo, na hatimaye walifukuzwa baada ya kulalamika kuwa gari hilo liliwapa “wasiwasi”.

Previous Post
Next Post

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *