Taasisi za misaada za utawala wa Kizayuni zimetoa ripoti mpya na kusema kuwa, Wazayuni milioni 2 na laki 5 na 40,000 wanaishi chini ya mstari wa umaskini.
Faraan: Tovuti ya habari ya al Arabi al Jadid imenukuu ripoti ya taasisi hizo za utawala wa Kizayuni zikisema kwamba asilimia 40 ya kaya na familia za wakazi wa ardhi za Palestina zinazokaliwa kwa mabavu wanaishi kwa misaada ya kibinadamu. Familia hizo zinaishi katika mazingira magumu kiasi kwamba mwaka huu wa 2021 zinashindwa hata kulipa bili za umeme na zinaishi kizani.
Shirika la misaada ya kibinadamu la utawala wa Kizayuni limesema katika ripoti yake kuwa, robo nzima ya familia za utawala huo pandikizi ziko katika ukingo wa kuporomoka chini ya mstari wa umaskini. Hizo ni zile familia ambazo shirika hilo limezitaja kuwa ni za watu wa kipato cha kati.
Miongoni mwa sababu zilizotajwa kuchangia hali hiyo mbaya ya kiuchumi katika jamii ya utawala wa Kizayuni wa Israel ni ugonjwa wa UVIKO-19 au corona. Kwa mujibu wa ripoti hiyo, janga la corona limechangia kwa asilimia 14 matatizo hayo ya kiuchumi na ugumu wa maisha katika familia za wakazi wa ardhi za Palestina zinazokaliwa kwa mabavu na Wazayuni.
Ripoti hiyo pia imesema, baada ya kutokea janga la corona, idadi ya familia za utawala wa Kizayuni zilizopoteza usalama wa chakula katika mwaka huu wa 2021 imeongezeka kutoka laki tano na 13,000 hadi familia laki 6 na 33,000.
Hivi karibuni pia gazeti la Rai al Yaum liliripoti hali mbaya mno ya kimaisha inayozitesa familia za utawala wa Kizayuni na kusema, ijapokuwa utawala wa Kizayuni wa Israel unajigamba kuwa na uchumi nzuri, lakini ukweli wa mambo ni kwamba kiwango cha umaskini na ufukara wa kutisha kinaongezeka na kuzidi kuulemea utawala huo, siku baada ya siku.
Hazel Grace is desperate to peel off her white dress and matching sheer thong to sing their own praises her tan lines. petite naked teen Lovely Gracie loves to work it together with her hands roaming her tight body, particularly her tits.